Maafa usafiri wa Noah

mopaozi

JF-Expert Member
Nov 17, 2010
3,301
520
Hv kinachosubiriwa ni ajali ili iundwe tume na litolewe tamko la kupiga marufuku usafiri huu wa abiria ni wapi kilitolewa kibali gari hizi zibebe abiria!!leo nimeahirisha safari baada ya kukosa bus nikapelekwa kwenye noah yaani kilichonitisha abiria wamepangwa kama nyanya dereva kabwamdogo kako bwaksi nikajiuliza nawahi wapi bora nibaki tu maafa makubwa yaja ktk usafiRi huu wa NOAH!!
 
ni ujinga wako tu kwa nini ulipanda?
 
Mwana uko rombo nini? maana huo ndo usafiri wetu 2 and 4rm moshi.
 
noah zinakimbia mbaya!afu tairi vipara mbaya!watu wanajazana kama nyanya ndan ya tenga!siku kikipiga chn patakua hapatosh,abiria wengine wanakaa kwenye buti wanawekewa vigoda!
 
Arusha to Namanga pia Arusha town kwenda Karatu ndio usafiri wa kisasa !!
 
Madereva wa Noah hawana leseni wengi walikuwa dei waka kwny daladala wamepewa waviendeshe hakika siku kikiwamwaga watu ndo watajua kuwa kuku hatoi maziwa!
 
Madereva wa Noah hawana leseni wengi walikuwa dei waka kwny daladala wamepewa waviendeshe hakika siku kikiwamwaga watu ndo watajua kuwa kuku hatoi maziwa!

suala la kuanguka kwa gari hata bus linadondokaga2 so,inategemea
 
Noah usafiri mzuri tu tena fasta, tatizo labda ni hilo la kujaza abiria nakuwapanga kama nyanya za Ilula.
 
aliahirisha safari na wewe!!

Hako nako kaacheni kakimbilie kutukana watu tu!

Mtu amesema aliahirisha jamaa amekomaa kutukana tu! Wa-TZ tuna matatizo kwenye bongo zetu. Mtu hujasoma vizuri unakimbilia kujibu kwa vile umesoma maneno mawili tu!

Nimempuuza sana huyu jamaa sijui ana umri gani?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom