Maafa makubwa Gymkhana Club

RIP Prof. Kamuzora a.k.a Father Xmass

Nakumbuka jinsi tulivyokuwa tunamtania class kama babu yetu vile.
 
Ni baba mkwe wa kaka yangu na ni very sad news. mipango inaendelea vizuri and I will keep you posted.
 
Ama kweli mafisadi watakoma mwaka huu. Hadi vimbunga vinawafuata huko huko Gymkhana Club kuwamaliza?
 
Dahh hizi ndo zile mvua alizokemea mzee wa upako zinyeshe....pumzika kwa amani profu wangu
 
RIP, Prof KAMUZORA, nakukumbuka mwa 2005, ulivyonifundisha Statistics, pale UDSM, nikiwa BCOM, na kuna siku ulitoa namba yako ya simu ili tukiwa na shida tukupigie, lakini kuna watu walianza kukubeep darasani, hadi ukaamua kuzima simu, RIP prof wangu DAIMA NITAKUKUMBUKA,

bwana ametoa, bwana ametwaa, mungu ailaze roho yako mahali pema peponi.
 
Ama kweli mafisadi watakoma mwaka huu. Hadi vimbunga vinawafuata huko huko Gymkhana Club kuwamaliza?
Si ajabu utakuwa umevuta bangi wewe,watu wako wanatoa salamu za pole kwa marehemu Prof Kamuzora wewe unaleta habari zako za bangi hapa.
 
Ama kweli mafisadi watakoma mwaka huu. Hadi vimbunga vinawafuata huko huko Gymkhana Club kuwamaliza?

We mwenye kuandika haya hakika hukuwahi kumjua Prof Kamuzora. Sauti ya wengi ni sauti ya Mungu. Angalia post zote hizi zinasema nini juu ya Prof..

Binafsi amenifundisha Statistics palae UDSM. ni masikitiko makubwa kwa sote tuliomfahamu

Miongoni mwa kauli/sifa zake "we were the 2 first tanzanians to take maasters in demography "
 
Ama kweli mafisadi watakoma mwaka huu. Hadi vimbunga vinawafuata huko huko Gymkhana Club kuwamaliza?
huyu bwana haelewi maana ya Professor na bila shaka hajawahi kuvuka elimu ya msingi. Ni internet cafe attendant! Low IQ! Yaani haoni msgs of condolences au aanafikiri professor Kamuzora ni binamu yake RA!&@!?&@!!!!?
 
Sad News. Nawapeni pole sana waliofiwa na walioumia nawaombea wapone mapena.
 
Mungu amlaze mahali Pema Peponi!!
Mungu awape faraja wafiwa wote!!
 
Ama kweli mafisadi watakoma mwaka huu. Hadi vimbunga vinawafuata huko huko Gymkhana Club kuwamaliza?
Nimeshutushwa sana na POSTI ya huyu jamaa!!!.Hata hivyo nikakumbuka usemi wa mzee mmoja kuwa katika kila jamii kuna punguani wake, kichaa wake, hamnazo wake, na watu wa aina hiyo . Si kweli kuwa kila mtu ni FISADI hata wewe kutumia jukwaa hili kutukana, ni ufisadi na wengine hawafanyi hivi. Uwe na akili kidogo wewe nyau @)**&^*( zako.

By the way Mzee huyu alinifundisha na ni mtu wa watu, POLENI SANA NDUGU NI MSIBA WA KUSHUTUKIZA SANA. MUNGU AIWEKE ROHO yake mahali pema peponi. AMINA
 
Ama kweli mafisadi watakoma mwaka huu. Hadi vimbunga vinawafuata huko huko Gymkhana Club kuwamaliza?

Haya bwana, akili imajaa ufisadi, hadi ukilala unaota ufisadi. Hata ukikutana na mtu aliyevaa vizuri akapendeza kuliko wewe utamwita fisadi. Maana duuu Think before you write!!!
 
Msimshangae labda hamjui huyu prof. wala si kosa lake,na mie pie huyu mzee alikuwa anatu-lecture as 217 pale udsm ktk mwaka wa masomo 2008/2009 na namkumbuka vizuri akiwa anatumia projector yake kutufundisha introduction to computer na nakumbuka alituambia we must all pas the exam huku anacheka kihaya haya teh teh eeeh teh teeeh,oo lord may his soul rest in peace
 
Back
Top Bottom