Maafa Dar: CCM watoa rambirambi ya milioni 4, CHADEMA milioni 20

Wametoa ili kujionyesha, naolewao wafanyao hivyo kwa maana watahukumiwa. Pia uelewe ni kwa kuwa wanautafuta uraisi ndiyo wanafanya hivi, na hii 25m si bure wapo kwenye kampeni. Jifunze kufanya analysis ya vitu si kukurupuka tu.

Mkuu Kiminyio plz may u accept my sincerely request to send you at Mirembe hospital for serious checkup? I will be ready to pay for any cost associated with your checkup,including accomodation.And plz you may communicate with me through private message and I hope you will accept my offer.

Your welcome!!
 
Kwani hizo Mil.25 unadhani ni za Dr Slaa au Mbowe? Ni za wananchi pia zinatokana na kodi zetu! Ambazo ni ruzuku wanazopokea kutoka serikalini...

Mkuu Ritz jaribu kuwa serious na mambo yanayogusa maslahi ya watu maskini,michango yangu mingi utadhani mtoto wa darasa la kwanza..kwanini hutaki kubadilika mkuu? Kama una maslahi ya hawa wezi CCM kumbuka kuna watoto wanaangaika kwa umaskini,juzi wanafunzi 9,000 wamefutiwa matokeo ya darasa la saba,unaweza ukajiuliza ni kwa maslahi ya nani? mtoto wa darasa la saba hawezi kwenda kununua mtihani,nadhani wazazi wao na walimu wangeshughulikiwa na sio watoto wadogo...mifano hii na mingine mingi sidhani ungeendelea kushabikia umafia huu unaofanywa na CCM pamoja na serikali yake....
 
Yani mkuu umenena katika watu ambao wananiumiza kichwa ni huyu Ritz huwa simuelewi anamaslai gani na ccm natamani kumfahamu zaidi historia yake je ni kweli anavyoitetea ccm kuna benefit zozote anazipata? jamaa ni zaidi ya kipofu. chama sio baba wala mamayako kwamba hata kikifanya madudu wewe kazi yako kusifia tu. jamani Ritz amekunywa maji ya bendera ya ccm.
 
Mkuu Kiminyio plz may u accept my sincerely request to send you at Mirembe hospital for serious checkup? I will be ready to pay for any cost associated with your checkup,including accomodation.And plz you may communicate with me through private message and I hope you will accept my offer.

Your welcome!!
I accept your proposal provided haina sanctions za bwana David Cameroon. Ila usijaribu kutoa kibanzi kwa mwenzio wakati unaboriti jichoni mwako. The end.
 
Maafa ya Zanzibar Chadema walitoa kiasi gani?.
Kwani wazanzibari wenyewe walitoa ngapi? Kwani yule mbunge wa cuf aliyesema bungeni kuwa CHADEMA warudishiwe rambirambi zao, alisema wangerudisha kiasi gani?
 
Rais Jakaya Mrisho Kikwete, katenga Bilioni 3 kwa ajili ya walioathirika na mafuriko Dar es Salaam!
kwani wewe ndie msemaji wake siku hizi? mbona anashindwa kuwalipa wafanyakazi wake, sasa hizo bilioni 3 atazitoa wapi? Au ndio anaendeleza ahadi hewa kama kawada yake?
 
Wametoa ili kujionyesha, naolewao wafanyao hivyo kwa maana watahukumiwa. Pia uelewe ni kwa kuwa wanautafuta uraisi ndiyo wanafanya hivi, na hii 25m si bure wapo kwenye kampeni. Jifunze kufanya analysis ya vitu si kukurupuka tu.
Kwani wenyewe CCM huo uraisi hawautaki?
 
hiyo mil 4 ni advance...wakati wa kampen za uchaguzi watapewa na vitambaa na mitandiohalafu kwa njaa zao watachagua tena magamba. watz wengi tupo kwenye lepe la usingizi.
 
I accept your proposal provided haina sanctions za bwana David Cameroon. Ila usijaribu kutoa kibanzi kwa mwenzio wakati unaboriti jichoni mwako. The end.

Hapo kwenye red usiwe na shaka mimi ni mkristo niliyezaliwa mara ya pili,tena kwa maji na roho.....unahitaji kuangaliwa akili yako kama ipo sawa,maana kwa umri wako kuandika uharo kama huu hapa JF inatia shaka kidogo,labda una matatizo ya ubongo...
 
Hongera chadema bora mmeonyesha mfano ni kheri kama mmegawa kwa wahanga wa mafuriko kama mmepeleka ofisi ya mkuu wa mkoa hizo fedha hazifiki kwa walengwa na mmempa jamaa huyo mtaji wa kugombea ubunge 2015.

Bangi za tarime hizo. Hii contest ya kijinga na populist approach hazina nafasi kwa siasa za leo.
 
Back
Top Bottom