Maafa Dar: CCM watoa rambirambi ya milioni 4, CHADEMA milioni 20

....Angalia namna watu wanavyokuwa makini au wanavyokosa umakini na wapiga kura wao,CDM wamechota shs mil.25 kusaidia waanga wa mafuriko DSM,CCM wao tena kwa mbwembwe wametoa shs mil.4 kupitia kwa k/muenezi Nape Nnauye....

kupitia jambo hilo ndo utajifunza kati ya ccm na cdm nani wazalendo wa kweli, kutoa ni moyo for sure, ccm pamoja na mijihela walonayo bado ni wabinafsi, aibu kwao.
 
Nadhani ccm wanabania hizo pesa sababu wanajiandaa kuachia nchi 2015,so wanabana kwa jili ya mitaji ya maisha mapya, kwa hiyo wana jf isiwaumize kichwa!
 
Rais Jakaya Mrisho Kikwete, katenga Bilioni 3 kwa ajili ya walioathirika na mafuriko Dar es Salaam!

Unadhani kwa akili yako hiyo hela ipo? Jana nimemsikia mkuu wa mkoa wa DSM akisema kuwa wananchi wasitegemee kujengewa nyumba,ila watapewa viwanja...sasa sijui kama kugawa viwanja ndio inagharimu bil.3....serikali hii imechezea hela kwenye mambo yasiyo na tija kama sherehe za uhuru,sasa kwanini wasiwekeze kwenye mambo ya msingi kama kujenga makazi bora na yakapangishwa kwa watanzania kwa kodi ndogo inayorandana na maisha halisi? kusubiri watu wafe ndio uje na mpango mkakati ni uwehu.....
 
....Angalia namna watu wanavyokuwa makini au wanavyokosa umakini na wapiga kura wao,CDM wamechota shs mil.25 kusaidia waanga wa mafuriko DSM,CCM wao tena kwa mbwembwe wametoa shs mil.4 kupitia kwa k/muenezi Nape Nnauye....
Wametoa ili kujionyesha, naolewao wafanyao hivyo kwa maana watahukumiwa. Pia uelewe ni kwa kuwa wanautafuta uraisi ndiyo wanafanya hivi, na hii 25m si bure wapo kwenye kampeni. Jifunze kufanya analysis ya vitu si kukurupuka tu.
 
Kuna mwanamziki mmoja wa bongo fleva katoa milioni 20..hili nalo neno!

Soma kichwa cha habari ili uelewe kinachoongelewa. Watu wanalinganisha vyama vya siasa ambazo ni taasisi zinazowajibika moja kwa moja kwa wanachama na wapiga kura wake, wewe unalinganisha na wasanii ambao wanatoa kama hisani. Mapato ya wasanii na wananchi mmoja mmoja hayajulikani, na wala hatuwezi kuhoji. Tunalinganisha CCM na CHADEMA ambao mapato yao ni wazi - ruzuku ya CCM ni karibu mara 10 ya ile inayopata CHADEMA lakini mchango wa CCM ni pungufu ya mara 6 ya ule ya ule wa CHADEMA. Hapa unaweza kuona ni kwa namna gani katika hivi vyama hivi viwli vya siasa, kila kimoja kimetoa uzito kwa janga hili.

Panua upeo na akili yako ili ufanye ideal reasoning wala usipumbazwe na ushabiki.
 
Kama waliweza kutumia bilioni 4.8 Igunga na pia hupokea zaidi ya Milioni 800 kwa mwezi kama ruzuku na isitoshe wao ndio wenye serikali inayoendeshwa kishikaji kiasi ya kurusu watu kuvunja sheria kwa kujenga pasipostahili na wenye fedha kujenga kuta zinazoharibu mikondo ya maji taka walipaswa kuonyesha mfano.

Hakuna mashindanoi ya kutoa kingi lakini it remains a fact wamejidhalilisha.
 
rais jakaya mrisho kikwete, katenga bilioni 3 kwa ajili ya walioathirika na mafuriko dar es salaam!
ah kikwete... Zitakuwa ni zile alizolipwa kwa kuiuza kampuni yake ya richmond kwa dowans, no hapa tunasema ccm dhidi ya chadema
 
Wametoa ili kujionyesha, naolewao wafanyao hivyo kwa maana watahukumiwa. Pia uelewe ni kwa kuwa wanautafuta uraisi ndiyo wanafanya hivi, na hii 25m si bure wapo kwenye kampeni. Jifunze kufanya analysis ya vitu si kukurupuka tu.

Sasa unatumia mbinu gani rambirambi fulani ya halali,na nyingine ya kujionyesha? Au kuna kanuni kwamba aliyetangulia kutoa,basi we ukija kutoa,utoe chini yake kidogo.. Ama ukitoa zaidi basi usipitilize sana.. Ufafanuzi pls
 
Rais Jakaya Mrisho Kikwete, katenga Bilioni 3 kwa ajili ya walioathirika na mafuriko Dar es Salaam!

mkuu hiyo reply yako ni nje ya thread au ndo unataka tuzijumlishe na hizo mil. 4 za CCM?!
Maana nadhani hata sio sahihi kusema Kikwete katenga, kwa sababu hajatoa mfukoni kwake, hapo ni serikali imetenga hizo fedha toka kwenye mfuko wa maafa, na najua unajua kuwa serikali ni ya wananchi so ni wajibu kusaidia pale panapotokea matatizo kama haya!
Na mwisho kutenga fedha na kusaidia wahanga ni vitu viwili tofauti manake ulivyozitaja utadhani ndo matatizo yao yatakuwa yameisha!! Usimamizi ili zifike kwa walengwa ndo cha muhimu zaidi. Na tukiangalia mifano ya matukio yaliyopita tunajua hapo watu wamepewa za kujenga majumba tu...
 
Sasa unatumia mbinu gani rambirambi fulani ya halali,na nyingine ya kujionyesha? Au kuna kanuni kwamba aliyetangulia kutoa,basi we ukija kutoa,utoe chini yake kidogo.. Ama ukitoa zaidi basi usipitilize sana.. Ufafanuzi pls
Unapotoa, utoe kwa kuwa unaguswa na unachoamini unachokitolea. Usitoe kwa kutaka watu wakusifie. Sidharau walichofanya Chadema, ninakitambua na kuheshimu, ila tusifanye kutoa kwa CCM, Chadema, TLP, NCCR-Mageuzi ama chama chochote kuwa ni kigezo cha kusema hiki chama ni kizuri na kile ni kibaya. Tupo katika mapambano, na ili tushinde katika haya mapambano ya kuipeleka Tanzania tuitakayo, lazima tufanye upembuzi wa kuangalia chama kipi kinachotufaa wakati wa shida, raha, na kutuvusha kwenye mito ya asali na maziwa kwa kuangalia sera, commitment, plan, na uwajibikaji ikiwa ni long and sustainable plans. Kama tukiamua kuwapa credit mojakwa moja CDM tutakuwa tunakosea sana, kwani itakuwa haina tofauti na baba na mama waliokaa miaka mingi 80 bila kupata mtoto, kisha mama anamwambia baba atembee na mfanyakazi wao, ambapo anabahatika kupata ujauzito na baadae mama anakuja kupata ujauzito pia. Yupi bora? Tuwe wavumilivu, na tuwape CDM mikakati tunayoitaka, na kama wakiweza kuimplement na tuwape nchi, lakini tusiwasifie kishabiki sana, tutakuja kujuta mwisho wa siku na kuamua kumtelekeza housegirl.
 
mkuu hiyo reply yako ni nje ya thread au ndo unataka tuzijumlishe na hizo mil. 4 za CCM?!
Maana nadhani hata sio sahihi kusema Kikwete katenga, kwa sababu hajatoa mfukoni kwake, hapo ni serikali imetenga hizo fedha toka kwenye mfuko wa maafa, na najua unajua kuwa serikali ni ya wananchi so ni wajibu kusaidia pale panapotokea matatizo kama haya!
Na mwisho kutenga fedha na kusaidia wahanga ni vitu viwili tofauti manake ulivyozitaja utadhani ndo matatizo yao yatakuwa yameisha!! Usimamizi ili zifike kwa walengwa ndo cha muhimu zaidi. Na tukiangalia mifano ya matukio yaliyopita tunajua hapo watu wamepewa za kujenga majumba tu...

Kwani hizo Mil.25 unadhani ni za Dr Slaa au Mbowe? Ni za wananchi pia zinatokana na kodi zetu! Ambazo ni ruzuku wanazopokea kutoka serikalini...
 
utoto ulio nao ndo unao kufanya uwe mjinga na mvivu wa kufikiri kwani ccm inatumia hela za jk na lowasa??? tumia kichwa kufikiri na sio masaburi kama unavo fanya au limekuchomaaaa??
 
mkuu hiyo reply yako ni nje ya thread au ndo unataka tuzijumlishe na hizo mil. 4 za CCM?!
Maana nadhani hata sio sahihi kusema Kikwete katenga, kwa sababu hajatoa mfukoni kwake, hapo ni serikali imetenga hizo fedha toka kwenye mfuko wa maafa, na najua unajua kuwa serikali ni ya wananchi so ni wajibu kusaidia pale panapotokea matatizo kama haya!
Na mwisho kutenga fedha na kusaidia wahanga ni vitu viwili tofauti manake ulivyozitaja utadhani ndo matatizo yao yatakuwa yameisha!! Usimamizi ili zifike kwa walengwa ndo cha muhimu zaidi. Na tukiangalia mifano ya matukio yaliyopita tunajua hapo watu wamepewa za kujenga majumba tu...
tatizo la ritz akisha popelewa huwa anachanganyikiwa mwezi mzima ndo mana mda wote anaandika pumba kwa vile anapopelewa sana na akili zinampungua kaoge kwanza ndo uje uchangie mada hapa kwasasa sio saiz yako ritz.
 
utoto ulio nao ndo unao kufanya uwe mjinga na mvivu wa kufikiri kwani ccm inatumia hela za jk na lowasa??? tumia kichwa kufikiri na sio masaburi kama unavo fanya au limekuchomaaaa??

Aise!! wewe ndio mkubwa unachangia mataputapu kama haya?
 
tatizo la ritz akisha popelewa huwa anachanganyikiwa mwezi mzima ndo mana mda wote anaandika pumba kwa vile anapopelewa sana na akili zinampungua kaoge kwanza ndo uje uchangie mada hapa kwasasa sio saiz yako ritz.

Usipo angalia Viroba vya Vodka vitakufanya uwe mwehu!
 
Back
Top Bottom