Maadui wa katiba mpya

Tumsubiri kibamba.. kasema watatoa soon, so keep listening ila W-Ass-ira hakosi kwenye top ten
 
anna kilango.jpg
Anna Kilango
 
Tumsubiri kibamba.. kasema watatoa soon, so keep listening ila W-Ass-ira hakosi kwenye top ten

Samora10 umelonga hilo zee toka hifadhi ya gombe yaani ni kero mnoo linapinga saana wa TZ tupewe haki yetu ya msingi halitaki kabisa. nadhani mabadiliko kwao ni sumu
 
1.Al-shabaab aka Mjelajela original
2.Tumbo Kubwa aka Muimba Taarabu aka Bushbaby
3.Tyson
4.Bushbaby-ni
5.Mzee wa wawi
6.Searching..........
 
Huyu mama ailijifanya ana uchungu na sisi kumbe naye ni walewale simba ndani ya ngozi ya kondoo,kwa mtazamo wangu wafuatao wamo
1.Mwerema
2.Komba wa ini
3.Mzee wa bastola igunga
4.Matonge ya kirema
5.Wabunge wa kutoka mdebwedo

ah!!! mimi naona waliobakia ni woteee wa SISIEM
 
Back
Top Bottom