Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maadhimisho Ya Wiki Ya Nenda Kwa Usalama Barabarani 2012

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by AMEND, Sep 14, 2012.

 1. AMEND

  AMEND Member

  #1
  Sep 14, 2012
  Joined: Aug 6, 2012
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mwaka huu maadhimisho ya wiki ya nenda kwa usalama barabarani yataadhimishwa rasmi mkoani Iringa kuanzia tarehe 17 hadi 22 Septemba. Kauri mbiu ni "Pambana Na Ajali Za Barabarani Zingatia Sheria". Mkoani Dar es Salaam uzinduzi utafanyika katika viwanja vya Mnazi Mmoja kuanzia sa mbili asubuhi.

  Ajali na usalama barabarani ni masuala yaliyosahaulika sana nchini kwetu Tanzania na bado ni changamoto kubwa kwa Watanzania kijamii na kiuchumi. Zaidi ya 3.4% ya pato la Taifa Tanzania linapotea kila mwaka kutokana na ajali za barabarani. 75% ya ajali husababishwa na kutowajibika kwa madereva wawapo barabarani (The Guardian; 'ItÂ’s time for Sumatra and traffic police to act' - IPP Media, 2011). Mbaya zaidi ya yote, hali inazidi kuwa mbaya, kila mwaka. Karibu kila siku tunasoma, tunasikia na kuangalia habari kuhusu VVU / UKIMWI na Malaria kutoka vyombo mbalimbali vya habari, lakini mara ni mara ngapi umma wa Watanzania unasikia kuhusu usalama barabarani na athari za kijamii na kiuchumi zinayosababishwa na ajali za barabarani? Ajali za barabarani ni janga kubwa duniani kote. Ni wakati sasa tushirikiane sote kubadili hali hii na si kusubiri mara moja kila mwaka ili kufanikisha hili.
   
 2. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #2
  Sep 14, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 20,237
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 48
  Hii mambo si inahusika na polisccm?....ptuuuuuuu!!! go to hell polisccm.
   
 3. N

  Nguto JF-Expert Member

  #3
  Sep 15, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 1,772
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 48
  Waandishi wa Dar hawajasusia kuripoti habari za jeshi la polisi na wizara yake hadi kieleweke? Hata hapa jamvini tungeacha kuandika mambo ya polisi.
   
Loading...
Similar Threads - Maadhimisho Wiki Nenda Forum Date
Maadhimisho ya siku ya wafanyakazi Duniani, Mei Mosi Habari na Hoja mchanganyiko Sunday at 7:37 AM
Azam 2 wanaonesha live maadhimisho ya mauaji ya Kimbari Rwanda Habari na Hoja mchanganyiko Apr 7, 2016
Mambo 10 ya kufahamu kutoka kwenye hotuba ya Jakaya Kikwete leo February 6 katika maadhimisho ya CCM Habari na Hoja mchanganyiko Feb 10, 2016
Maswali Makubwa Mawili Kuhusu Maadhimisho Ya Leo 9/12/2015 Habari na Hoja mchanganyiko Dec 9, 2015
ITV na maadhimisho wiki ya nenda kwa usalama barabarani. Habari na Hoja mchanganyiko Sep 17, 2012

Share This Page