Maadhimisho ya siku ya wafanyakazi Duniani, Mei Mosi

365

JF-Expert Member
Nov 28, 2014
1,377
1,453
Wafanya kazi wengi wa Tanzania leo tena wanasubiri kuambiwa ahadi hewa ambazo zimekuwa zikitolewa na viongozi wa serikali kila mwaka na kutekelezwa na viongozi wa vyama vya wafanyakazi kwasababu na wao majukumu yao ni hewa.

Viongozi wa vyama vya wafanyakazi Tanzania ni MAJIPU makubwa sana hawana mchango kwa wafanyakazi isipokuwa wameungana na serikali kumnyonya mtumishi.

Kama inawezekana MAGUFULI awasaidie watumishi kuwatumbua hao viongozi wa vyama vya wafanyakazi.
 
kwa walimu neema yaja,grade a teachers basic 5180,000,take home 422,000 ,diploma basic 620,000,take home 500,000,degree 826,000 take home 678,000
 
kwa walimu neema yaja,grade a teachers basic 5180,000,take home 422,000 ,diploma basic 620,000,take home 500,000,degree 826,000 take home 678,000
hiyo take in hand haiwezekani...makato ya kodi.bima.NSSF.vyama vya wafanya kazi.bodi ya mikopo. n.k
 
Kwa walimu wana mategemeo makubwa sana kuhusiana na hii hotuba ya huyu mkuu lakini jion watakuja kulalama hapa mi nipo jamaa hato ongeza hata mia zaid atawaomba mkafanye kazi kwa nguvu na bidii, kama kuongeza na kuwakumbuka ange wakumbuka wakati wa utekelezaji wa elimu buree
 
Nchi Hii Kila Mtu Anacholipwa Hakimtoshi Jamani Hata Afya Wanaosema Wana Salary Scale Iliyonona Ndiyo Hao Hao Kuiba Panadol Na Kufanya Mapenzi Wodini Na Wagonjwa.

Mimi Nitafurahi Sana Wazee Wakianza Kulipwa Pension Na Wachoma Mkaa Nao Wakistaafu Pia Kulipwa Pension Usiniulize Wanastaafu Vp?
 
Wangekuwa competent teachers zingekuwa hazitoshi,lakini kwa vile ni vihiyo zinatosha.
wafanya kazi wengi wa tz leo tena wanasubiri kuambiwa ahadi hewa ambazo zimekua zikitolewa na viongozi wa serikali kila mwaka na kutekelezwa na viongozi wa vyama vya wafanyakazi kwa kusababu na wao majukumu yao ni hewa.

viongozi wa vyama vya wafanyakazi tz ni MAJIPU makubwa sana hawana mchango kwa wafanyakazi isipokuwa wameungana na serikali kumnyonya mtumishi.

kama inawezekana MAGUFULI awasaidie watumishi kuwatumbua hao viongozi wa vyama vya wafanyakazi
 
Mambo ya muhimu wafanyakazi wanayotegemea kutoka kwa presdaa leo ni:
1.Mshahara uongezwe.
2.Makato ya kodi kutoka kwenye mishahara yabaki tarakimu moja.
3.Mazingira ya kazi yaboreshwe.
4.Madeni ya watumishi wanayoidai serikali yalipwe kwa wakati.
Nje ya hapo hotuba nzima ya Rais itaonekana imepwaya.
 
Mambo ya muhimu wafanyakazi wanayotegemea kutoka kwa presdaa leo ni:
1.Mshahara uongezwe.
2.Makato ya kodi kutoka kwenye mishahara yabaki tarakimu moja.
3.Mazingira ya kazi yaboreshwe.
4.Madeni ya watumishi wanayoidai serikali yalipwe kwa wakati.
Nje ya hapo hotuba nzima ya Rais itaonekana imepwaya.

Ila naangalia apa najiuliza ivi izi sherehe zimeandaliwa na chama cha wafanyakazi au imeandaliwa na serilikali kusifiwa na wafanyakazi
 
Back
Top Bottom