Maadhimisho ya miaka 50 ya Tanzania bara mkoani Arusha nia aibu tupu....

CHEMPO

JF-Expert Member
Nov 24, 2011
368
59
Nikiwa kwenye matembez yangu nilipita karibu na uwanja wa s.a,abeid nikaona nisisuse kwa asilimia 100.nikajongea ndani kuona kinachoendela..sikuamin macho yangu idadi ya watu ilikuwaa ndogo sana kuliko hata magari ya viongoz,,big up wana arusha kwa kususia maigizo haya,,
 
Arusha wangejitokeza kama wangeadhimisha 50yrs ya Tanganyika na siyo Tanzania bara
 
Picha mkuu
 
Safi sana wana Arusha kwani maonesho haya ya uhuru yanamaliza hela zetu wananchi bila sababu za msingi. Hebu angalia hizo sare na makorombwezo mengine yangetumika kjengea zahanati au shule na madawati mangapi yangepatikana?
 
Waache kwenda kutafuta shilingi, wakapigwe jua kwenye maigizo!!
Unawajua watu wa arachuga au unawasikia wewe!!
 
Nashangaa uwanja wa Taifa wameweka bendera nyingi za Tanzania utadhani tunaadhimisha uhuru wa Tanzania, Zanzibar wakiadhimisha wana bendera yao saaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaafi
 
Nashangaa uwanja wa Taifa wameweka bendera nyingi za Tanzania utadhani tunaadhimisha uhuru wa Tanzania, Zanzibar wakiadhimisha wana bendera yao saaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaafi

Uchulo, Mkuu!
Kumpenda mama wa mwenzio kuliko mama yako! nahisi mzimu wa mwenge umetupumbaza!
 
Arusha wangejitokeza kama wangeadhimisha 50yrs ya Tanganyika na siyo Tanzania bara

Wala! tutakuja kusheherekea uhuru wetu pindi tutakapopata serikali sikivu inayokemea ufisadi na ambao mikataba feki watakapoachana nayo, na nzuri zaidi Ccm watakapoondoka madarakani
 
Tz sasa bila kuiga ya Arusha maendeleo kwetu yatakuwa historia
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom