Maadhimisho ya kuzima mwenge live TBC1

Kikwete anakabidhiwa mwenge sasa mkuu wa mwenge anatoa risara fupi yenye maneno ya upupu tu
 
al shabaab hawapo leo kwa kuwa shughuli ni ya ccm magamba kibali kametolewa cha mkusanyiko pasipo na taarifa za mashaka za ki intelijensia
 
Risara ya kiongozi wa mwenge shukurani ni nyingi tu , walikuwa wazunguka kutoa ujumbe kuweka mawe ya msingi elimu ya rushwa ,
 
Hii ndio nchi ya makongamano na tume za uchunguzi kwa hiyo hata huo mwenge ki mfumo unafanana na hayo makongamano ambayo hayana tija kwa taifa zaidi ya historia ingekuwa vizuri wangeendeleza hata azimio la arusha kuliko huo mwenge ambao kwa sasa hauna maana yeyote kwetu zaidi ya kufuja pesa
 
Anasema alikuta bado watu ni wajinga wa kutukuza amani kama kawaida. Ulinzi upo wadhubudi nchi nzima watu wanaendelea kulima na jembe la mkono
 
Anaendelea kuelezea mafanikio katika seta mbalimbali pasipo kusema kama wameendelea vipi kitechnology
 
Mateja wemekuwa wengi nchi nzima ivyo anamshauli rais apunguze wauza unga
 
Kuna jamaa wataenda kupandisha mwenge kwenye mlima kilimanjaro kwa hiyo rais anawa kabidhi mwenge wa sasa wakula kiapo cha utii
 
Wakipandisha mwenge mara hii itakuwa mara ya tatu wanashindwa kueleza kuna mafanikio gani yamefanyika kutokana na kitendo hichi
 
Anampongeza kikwete kwa kuwepo kwenye hiyo shughuli

Siku anahutubia wazee wa CCM mkoa wa si aliwapa ratiba yake ilivyokua ngumu tangu mwezi wa nane hajaongea na Magamba kisa anakata anga na akawaahidi mwisho wa mwezi atakua zake Bunjumbura imekuaje tena ameghairi kusafiri au lilikua changa la macho tu
 
Sherehe nyingi halafu serikari haina pesa ya kuwalipa wafanyakazi mpaka inakopa benk
 
Sioni la maana sana lililo fanyika hapa rais anamaliza kwa kupiga na picha na wakimbiza mwenge ajauhutubia chochote
 
Kikwete anaongea sasa anasema uzimishwa kutokana nasiku ya kihistoria hivyo mwenge utazimwa 9 desemba
 
Back
Top Bottom