Maadhimisho ya kuzima mwenge live TBC1

Waziri wa ustawi wa jamii wa zanzibar anaongea mwenge tangia unaanzishwa umekuwa na mafanikio makubwa
 
Waziri anangea upupu tu anapongeza tu mafanikio ya mwenge aongelei maambukizi ya ukimwi yanayofanyika wakati mwenge unakimbizwa
 
Mwenge umezindua miradi mingi sana,lakini tathimini ifanyike kuangalia kama miradi hiyo inaendelea baada ya mwenge kupita.Kuna bomba moja kwenye wilaya moja maarufu kwa madini ya dhahabu mkoani MBY,lilitoa maji siku moja tu ya mwenge baada ya hapo no water;Sasa ni siasa au?
 
Anampongeza kikwete kwa kuwepo kwenye hiyo shughuli
 
Hizo ndizo shughuli hasa za Rais wa nchi kama hamjui. Hizi zingine za kukimbizana na mafisadi hazipendi kwa kweli
 
Ujumbe wa mwenge wa uhuru ni maadhimisho ya miaka 50 wa uhuru wa tanzania bara -Nchimbi
 
Eti unampango wa kusaidia vijana kupambana na maisha kivipi mwenge utasaidia hajasema
 
Mwakani utawasha mbeya na kuzimwa shinyanga-nchimbi
 
Nipo Ughaibuni lakini naipata TBC vizur kuliko nikiwa hapo bongo. Huyu DG wa sasa hiv anastahili pongezi
 
Mwenge ndio unaingia kwa ajili ya kuzimwa na kikwete
 
Kikwete anaenda kutambulisha kwa wakimbiza mwenge
 
Mudi mussa kutoka kusini pemba .vick kutoka mara. Deo kutoka dar. Hatibu kutoka unguja wapo wengi wanatunikiwa cheti na kikwete
 
Back
Top Bottom