Maabara ni science??????

MSANGU

New Member
Apr 23, 2012
4
1
Baada ya serikali kushindwa kutekeleza wajibu wake kwa wananchi kumetolewa tamko ya kwamba shahada ya Maabara haipo tena kwenye zile kozi zitakazo pewa kipaumbele kwa wanafunzi hao katika suala zima la mikopo!!!!! wadau tutafika?????????????????
 
Back
Top Bottom