Ma-super star wa jf...!!

kwa leo my-super-stars hawa hapa:Feisbuku,Mtambuzi,Ashadii,Manyanza,Rejao (Mkwe mtarajiwa)Uporoto,DenaAmsi,Jmushi1,MamaKubwa.
ma mdogo nimekutumia kavocha ka buku kumi! kwenye line yako ya safaricom umekaona????vp niongeze kengine??
 
Katika hii list ya ma supa staa wa JF nina kila sababu za kusema FF nae japo yumo. Jukwaa la siasa hakuna changamoto pako baridi hakuna hoja mbadala.

Fully SUPPORTED!!

Ma super star wa majukwa yote ama ya watu wazima?

Duh!Maana JF imepanuka sana sasa inaweza kugawanywa kikanda.

Huu ukanda mpya kabisa kwangu...Ha ha!

Ni jukwaa zima but sana kwa wanaojichanganya... Uwe unakuja na sehemu kama hizi bana! unapumzika pale international Forum (IF)

kwa leo my-super-stars hawa hapa:
Feisbuku,
Mtambuzi,
Ashadii,
Manyanza,
Rejao (Mkwe mtarajiwa)
Uporoto,
DenaAmsi,
Jmushi1,
MamaKubwa.

Thanks Auntie.... Barikiwe saaaana....

Ahsante sana Mamndenyi.

Ubarikiwe sana.

hahahahah..... Shem wewe ni Supestar wangu leo.... (wewe ni mchakachuaji wa mana, take note Sweetie ni superstar wa kila siku)
 
ma mdogo nimekutumia kavocha ka buku kumi! kwenye line yako ya safaricom umekaona????vp niongeze kengine??

Na uzee huu nitajuwa wapi mambo ya safari com,
ikifika nitakuambiaga ili unipe kavocha kengine,
je umerizika na rejao, japo anasubiri neno lako tu.
 
Fully SUPPORTED!!

Ni jukwaa zima but sana kwa wanaojichanganya... Uwe unakuja na sehemu kama hizi bana! unapumzika pale international Forum (IF)

Thanks Auntie.... Barikiwe saaaana....

hahahahah..... Shem wewe ni Supestar wangu leo.... (wewe ni mchakachuaji wa mana, take note Sweetie ni superstar wa kila siku)
Ok, i will do that,

Kweli i felt kinda lost jana.

Kwa kawaida huwa niki browse JF ninaanzia kwenye threads ambazo nilichangia previously na kuna watu/mtu aliye ilike contribution yangu, ama pia kama kuna aliye respond...However jana i took a different route,nikaanzia ku browse "New posts" ndo nikaona hii heading nikaingia humu.

Nika realise ni chit chat...

Nimegunduwa kuna wana JF wengi tu sifahamu michango yao licha ya kuwa ni masupa staa,so nitaanza kutembea na ku explore JF as much as i can on its entererity, if i may...

Wengi ninawafahamu, nimewaona wametajwa kama Gaijin,The Boss,Mr Rocky,Mkjj,Mamakubwa,Wewe mwenyewe Asha D,na sis RR,na baadhi ya wengine...Ila pia nimeshangazwa mmemsahau EMT since naye ni mojawapo ya wenye kutembea humu,juzi nilkutana naye kwenye jukwaa la lugha,ni kwasababu ya kupata marafiki,basi unajikuta unafuatilia wanapochangia,it happened with Sis RR...

Wengi nawafahamu kidogo tu kwa kuwaona in a couple of posts,wengi wamejiunga 2010/2011(not prejudice)

However nimegunduwa ni lazima nianze kuwafahamu member wapya kwasababu sisi tunaichukulia JF kama a big family.

Pia kwa upande mwingine, nimeshangazwa sana kwasababu kuna watu sijawasikia,again kama ulivyosema,maybe nahitaji kutembea zaidi.

Ila kwa utembeaji wangu huo limited,bado nikitaja majina ya ninaodhani ni superstars,it will take me time,ni wengi mno!
Na pia sijui kama hii ni ya masupa sta wa all the times ama ni wa year 2010/2011(again not prejudice)

Ama ni vigezo vya majukuwaa?

Mhn! I am lost,however more curious kuona na mimi ni kwa vipi nitaweza kuwa supa staa!Ha ha ha!
 
Nimegunduwa kuna wana JF wengi tu sifahamu michango yao licha ya kuwa ni masupa staa,so nitaanza kutembea na ku explore JF as much as i can on its enterity, if i may...

Man!! Dont be baffled by the names.... They are a lot and each and every one is called a superstar on the basis of different reasons... Na hizi ndo as follows....

  1. In most cases wale ambao hujijumuisha saana katika threads ambazo mara nyingi zimelenga more for relaxation.... hasa kama hii, hawa watu ukienda uzi wowote ule mrefu iwe Chit Chat OR MMU huwezi wakosa!! By all means, hata kama yupo busy atajitahidi apite hata na post moja.
  2. Wengine ni members ambao hujichanganya saana majukwaa mengine, I know mimi nawewe twafahamiana sababu ya International Forum, BUT i do know isingekua mimi kuja kule once in a while hata mimi usingenifahamu. Sasa hivi ikichangiwa kua ni active member katika the most friendliest Forums (Chit Chat na MMU).

Lingine Jmushi try to relax once in a while kwa kufuatilia vitu ambavo ni laini na havihitaji utumie nguvu kubwa, kuna a lot of discussion ambazo hutokea na zinagusa maisha ya almost kila mwanadamu... katika kila nyanja ya everyday life.... Karibu saana MMU, na if you are ready uniambie nikutumie Links ambazo ni worth reading, and of which i know you would enjoy...
 
Nashukuru sana,i felt kinda better,yani meshaanza kusikia some relaxation.

Nikipapenda huku inawezekana nikasahau kule lol!

Huku kunaonekna ni somewhere you can hold a conversation.

Thanks for opening a "new world" to me,i am going to embrace it,expect me to do that...

I appreciate your kindness bibiye,naomba basi kama ukiweza, uniorodheshee basi hayo majukwaa halafu niyaweke kwenye "to do list" If any other than Chit Chat and MMU.

Pia kama kuna topic ambayo you feel that you need as much people as possible,just notify people on the topic,watakuja.
Shukran...
 
Ok, i will do that,

Kweli i felt kinda lost jana.

Kwa kawaida huwa niki browse JF ninaanzia kwenye threads ambazo nilichangia previously na kuna watu/mtu aliye ilike contribution yangu, ama pia kama kuna aliye respond...However jana i took a different route,nikaanzia ku browse "New posts" ndo nikaona hii heading nikaingia humu.

Nika realise ni chit chat...

Nimegunduwa kuna wana JF wengi tu sifahamu michango yao licha ya kuwa ni masupa staa,so nitaanza kutembea na ku explore JF as much as i can on its entererity, if i may...

Wengi ninawafahamu, nimewaona wametajwa kama Gaijin,The Boss,Mr Rocky,Mkjj,Mamakubwa,Wewe mwenyewe Asha D,na sis RR,na baadhi ya wengine...Ila pia nimeshangazwa mmemsahau EMT since naye ni mojawapo ya wenye kutembea humu,juzi nilkutana naye kwenye jukwaa la lugha,ni kwasababu ya kupata marafiki,basi unajikuta unafuatilia wanapochangia,it happened with Sis RR...

Wengi nawafahamu kidogo tu kwa kuwaona in a couple of posts,wengi wamejiunga 2010/2011(not prejudice)

However nimegunduwa ni lazima nianze kuwafahamu member wapya kwasababu sisi tunaichukulia JF kama a big family.

Pia kwa upande mwingine, nimeshangazwa sana kwasababu kuna watu sijawasikia,again kama ulivyosema,maybe nahitaji kutembea zaidi.

Ila kwa utembeaji wangu huo limited,bado nikitaja majina ya ninaodhani ni superstars,it will take me time,ni wengi mno!
Na pia sijui kama hii ni ya masupa sta wa all the times ama ni wa year 2010/2011(again not prejudice)

Ama ni vigezo vya majukuwaa?

Mhn! I am lost,however more curious kuona na mimi ni kwa vipi nitaweza kuwa supa staa!Ha ha ha!

Alafu kingine this is a serious Discussion we are holding here... Ni dhahiri umezoea kuandika tu Facts... Na leo ngoja nikufundishe kujichanganya.... Naomba fuata hii LINK Ipo MMU na Uisome.....
 
Nashukuru sana,i felt kinda better,yani meshaanza kusikia some relaxation.

Nikipapenda huku inawezekana nikasahau kule lol!

Huku kunaonekna ni somewhere you can hold a conversation.

Thanks for opening a "new world" to me,i am going to embrace it,expect me to do that...

I appreciate your kindness bibiye,naomba basi kama ukiweza, uniorodheshee basi hayo majukwaa halafu niyaweke kwenye "to do list"
Shukran...

Jmushi.... Huku that is what we do BEST!! Holding conservations.... Inatufanya tuzoeane na tufahamiane pia... Inafanya tucheke kwenye hizi machines na looking forward to see certain members for they make you feel relaxed and happy.... Unasahau maisha yako halisi yalokuzunguka na kuona una ulimwengu where you can be anything you want..... KARIBU SAANA, Na kwa sasa MMU na Chit Chat is the Best place to get relaxed. Kuna jamaa mwingine yupo so underground kwa jina la Consigliere nae pia siku hizi ajichanganya mpaka juzi alishangaa katajwa humu ndani kama Super star pia....lol.... It is FUN!
 
kwa leo my-super-stars hawa hapa:
Feisbuku,
Mtambuzi,
Ashadii,
Manyanza,
Rejao (Mkwe mtarajiwa)
Uporoto,
DenaAmsi,
Jmushi1,
MamaKubwa.
senkyuu san mamndenyi kwa kutambua uwepo wangu! but umekosea kidogo tu! hayo majina mawili kwenye red ingebidi uyaunganishe cuz wameshakuwa wamoja!!
 
Jmushi.... Huku that is what we do BEST!! Holding conservations.... Inatufanya tuzoeane na tufahamiane pia... Inafanya tucheke kwenye hizi machines na looking forward to see certain members for they make you feel relaxed and happy.... Unasahau maisha yako halisi yalokuzunguka na kuona una ulimwengu where you can be anything you want..... KARIBU SAANA, Na kwa sasa MMU na Chit Chat is the Best place to get relaxed. Kuna jamaa mwingine yupo so underground kwa jina la Consigliere nae pia siku hizi ajichanganya mpaka juzi alishangaa katajwa humu ndani kama Super star pia....lol.... It is FUN!
Yeah,thanks once again,this is a whole new world to me,trust me!

Najihisi kama niko kwenye mtandao mwingine kabisa,ninachohofu tu ni wasije kuni miss kule kwenye siasa na International Lol!

Kuna dunia nyingine kule!Lol!Majina tofauti kabisa na haya huku...Kule kuna hadi kina Mh D.W Slaa,Zitto na wengineo,sijui huwa wanakuja huku?Ama labda with diffrent id's?Lol!

Ila nitaji mix kwasaana tu,coz mi ni mtu wa hivyo!

Sometimes we have to learn not to take issues seriously.

Haa mambo kwenye Taifa letu bila relaxation inaweza kuwa noumer!
 
Yeah,thanks once again,this is a whole new world to me,trust me! Najihisi kama niko kwenye mtandao mwingine kabisa,ninachohofu tu ni wasije kuni miss kule kwenye siasa na International Lol! Kuna dunia nyingine kule!Lol!Majina tofauti kabisa na haya huku...Kule kuna hadi kina Mh D.W Slaa,Zitto na wengineo,sijui huwa wanakuja huku?Ama labda with diffrent id's?Lol! Ila nitaji mix kwasaana tu,coz mi ni mtu wa hivyo! Sometimes we have to learn not to take issues seriously. Haa mambo kwenye Taifa letu bila relaxation inaweza kuwa noumer!

Good Karibu saana... Nona you are learning... Usha tumia terms kama (lol) na (noumer) inappropriate terms in most cases katika majukwaa yako ya kujidaia.....lol...

Na log off Source: Washawasha

Lesson one hio... Ni kweli na Log off, BUT the Member who most repeats hio phrase ndo hio source nimeweka.... (just for fun) hivo ni kind of trade mark yake.
 
Ha ha ha!Umenifurahisha sana Asha D,

My mood this morning is waay better because of you!

Samahani kwa wale tulio kwenye different time zones.
 
senkyuu san mamndenyi kwa kutambua uwepo wangu! but umekosea kidogo tu! hayo majina mawili kwenye red ingebidi uyaunganishe cuz wameshakuwa wamoja!!

usijali Rejao,
nimewaona hata kwenye thread nyingine kumbe mlishaanza zamani,
sasa ndo kusema umejipangapangaje.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom