Na wewe unaumiaje?
Kimoyomoyo.
Na wewe unaumiaje?
Toa sifa zao...
Kimoyomoyo.
Sifa zao ni warefu kama wasomali
Report abuse
Hata ww ni super star jamani tena unaweza kuwa number 1 hapa mmu.
ongeza hawa;
mtambuzi,
feisbuku,
mkirua,
mama mdogo,
mamakubwa,
piddy,
igwe,
bujibuji,
bundago (mlalamikaji)
jina langu liandike mwenyewe.
Hehehehe..ona hapo chini..!hell yeeeahhh ....:eyebrows:
Lizzy hayo ni mambo ya writing erra,nilimaanisha afrodenzi.
my list..
Gaijin
Mwanajamiione
RussianRoulette
Lizzy.
hawa wanne wanasema wakiwazacho
bila kufuata mkumbo.... ..
my list..
Gaijin
Mwanajamiione
RussianRoulette
Lizzy.
hawa wanne wanasema wakiwazacho
bila kufuata mkumbo.... ..
Lizzy hayo ni mambo ya writing erra,nilimaanisha afrodenzi.
AfroD
naona unanipaisha!
Thanks :]
Heeeeeey guess what....you is getting an early xmass present this year!!