Ma-super star wa jf...!!

Triple A

JF-Expert Member
Sep 4, 2011
766
147
kuna watu hapa jf wanamajina makubwa kwa umaarufu wao hapa jf hasa ktk michamgo yao.mimi hawa watu ningependa kuwaita masuper star wa jf! Kwangu mm wapo wengi kama The boss, klorokwin, nyani ngabu,asha d,husninyo,afrodanz na wengine wengi.... Endelea na wewe....
 
hao wote inawezekana ni mtu mmoja tu
 
kuna watu hapa jf wanamajina makubwa kwa umaarufu wao hapa jf hasa ktk michamgo yao.mimi hawa watu ningependa kuwaita masuper star wa jf! Kwangu mm wapo wengi kama The boss, klorokwin, nyani ngabu,asha d,husninyo,afrodanzi na wengine wengi.... Endelea na wewe....

ohhhh
man thank you, thank you far too kind ... :)
I love Friday night ..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom