Ma sheikh arusha wamtambua meya wa arusha

Sina fikra za kidini ila wewe unazo kwakusema kwenye post yako BAKWATA wako kwa maslahi ya chama zaidi,naijua historia ya BAKWATA,hatuko kwenye mfumo wa chama kimoja,kuna watu kwenye hiyo jumuiya wako CUF,CHADEMA,APPT nakadhalika nawafahamu,sasa wewe kusema wako kwa maslahi ya chama ndo nikasema ni uongo mweupe, na nikatoa mfano sijasema ndivyo ilivyo naona una badili mwelekeo wa point yangu ya msingi,kwamba je kwakuwa maaskofu walitimiza wajibu wao ambao mi naona wako sahihi kabisa wa kupinga kile kilichofanyika Arusha,je tuseme nao wako CHADEMA na wako kwa maslahi ya chama??? Nilichotaka kusema ni kuwa BAKWATA wamesema wanavyoona wao na wakaamua kumuunga mkono meya ambaye kuchaguliwa kwake kulikuwa na utata,lakini si kwamba wako kwa maslahi ya chama,kwa kuwa wanajumuiya ya BAKWATA si wanachama wa chama kimoja.

Usilete ubishi usiokuwa na manufaa mimi mwislam usinilazimishe kuiamini bakwata labda uwe umetumwa nitakuelewa naijua bakwata ndani nje viongozi wao historia zao tangu enzi za Sheikh Kassim Bin Jumaa kwahiyo mama mida ya mchana hii ni bora uingie jikoni ufanye mambo usishadadie mambo usoyajua.

Point yangu ni kuwa Uislam hauruhusu kudhulum nafsi ya binadam tena hasa mtawala kudhulum nafsi ya anaemtawala. Sasa kama wapo masheikh wamehalalisha itakuwa kwa kupewa chochote kwani hamkumbuki hata hao wanaokemea uovu sasa walipaza sauti na kusema fulani ni chaguo la Mungu?

Kitu muhimu sote tujue, risasi hazichagui muislam wala mkristo na kuna tetesi kuna mama wa OCD gani sijui risasi zilimfikia na alikuwa mahututi seliani. Kwahiyo panapotokea machafuko waislam na wakristo wote wataumia kama ilivyo kwa mgao CCM. Chadema, CUF, PPT, UDP, TLP wote wanaipata sawasawa wala huoni wa CCM wakipendelewa kwa hilo.
 
Soma mwananchi ya leo Jumanne Jan 11,2011 page14 kama haukupata habari.

Kama ni kweli wamepotoka na wala hakuna haja ya kuambiwa chochote bali credibility yao kwa waumini itashuka. Uislamu haushabikiii migogoro.

Kwenye shuka nyeupe tone la dowa linasababisha shuka kukosa thamani.
 
Usilete ubishi usiokuwa na manufaa mimi mwislam usinilazimishe kuiamini bakwata labda uwe umetumwa nitakuelewa naijua bakwata ndani nje viongozi wao historia zao tangu enzi za Sheikh Kassim Bin Jumaa kwahiyo mama mida ya mchana hii ni bora uingie jikoni ufanye mambo usishadadie mambo usoyajua.

Point yangu ni kuwa Uislam hauruhusu kudhulum nafsi ya binadam tena hasa mtawala kudhulum nafsi ya anaemtawala. Sasa kama wapo masheikh wamehalalisha itakuwa kwa kupewa chochote kwani hamkumbuki hata hao wanaokemea uovu sasa walipaza sauti na kusema fulani ni chaguo la Mungu?

Kitu muhimu sote tujue, risasi hazichagui muislam wala mkristo na kuna tetesi kuna mama wa OCD gani sijui risasi zilimfikia na alikuwa mahututi seliani. Kwahiyo panapotokea machafuko waislam na wakristo wote wataumia kama ilivyo kwa mgao CCM. Chadema, CUF, PPT, UDP, TLP wote wanaipata sawasawa wala huoni wa CCM wakipendelewa kwa hilo.
wewe ni mwislam SWAFI
 
Kumtambua au kutomtambua Meya si suluhisho la matatizo ya mgogoro uliopo,tatizo hapa ni kauli mbili tofauti zilizotolewa kwa wakati tofauti zenye malengo tofauti na zimepokelewa kwa mitazamo tofauti.Utofauti huu ndio unatokea hata katika mawazo yetu,imani zetu,na hata katika maisha yetu.
Tuwe mavumilivu na kamwe tusipandikize mbegu ya chuki za kisiasa,kidini na hata ukabila katika maisha yetu maana tutafika pabaya,tunatambua kuwa mgogoro upo na ni mkubwa hivyo tusipotumia busara na hekima kuutatua tutajikuta badala ya kuzima moto uliokuwepo tunauchochea.
Mungu ibariki Tanzania
 
Usilete ubishi usiokuwa na manufaa mimi mwislam usinilazimishe kuiamini bakwata labda uwe umetumwa nitakuelewa naijua bakwata ndani nje viongozi wao historia zao tangu enzi za Sheikh Kassim Bin Jumaa kwahiyo mama mida ya mchana hii ni bora uingie jikoni ufanye mambo usishadadie mambo usoyajua.

Point yangu ni kuwa Uislam hauruhusu kudhulum nafsi ya binadam tena hasa mtawala kudhulum nafsi ya anaemtawala. Sasa kama wapo masheikh wamehalalisha itakuwa kwa kupewa chochote kwani hamkumbuki hata hao wanaokemea uovu sasa walipaza sauti na kusema fulani ni chaguo la Mungu?

Kitu muhimu sote tujue, risasi hazichagui muislam wala mkristo na kuna tetesi kuna mama wa OCD gani sijui risasi zilimfikia na alikuwa mahututi seliani. Kwahiyo panapotokea machafuko waislam na wakristo wote wataumia kama ilivyo kwa mgao CCM. Chadema, CUF, PPT, UDP, TLP wote wanaipata sawasawa wala huoni wa CCM wakipendelewa kwa hilo.
Mkuu mijitu mingine ukibishana nayo utageuka mwehu....achana nao. Asiyekuelewa katika posts zako ana mtindio kwenye halmashauri ya ubongo wake
 
Yoyote naetaka kujadili tatizo la Arusha ni vyema akaliangalia ktk engles kama tano

1- meya wa Arusha
2-maandamano
3-watu waliouliwa
4-mapadre na masheikh
5-msimamo wa serikali

Wengi wanadai kua meya anatakiwa ajiunzulu lakin hawataji ni sababu zipi wanazomtaka meya ajiunzulu wala hawataji ni process gani zipo iwapo meya itambidi kujiunzulu.

Maandamano inavyofahamika rasmi ni ku serikali ilizuia maandamano kwa sababu za kiusalama na kweli imeonekana kua watu wametoza maisha kama matokeo ya maandamano hayo. On the other hand polisi anatakiwa atumie nguvu zinazohitajika tu ktk kukabiliana na tatizo lolote, sasa haiko clear kwa hayajapatikana maelezo ya polisi officially kua mazingira gani yaliwafanya watumie risasi. I any case walioandama watabeba nao baddhi ya lawama.

Watu waliouliwa, kwa hali yoyote ile mtu kupoteza maisha ni kitu cha kusikitisha kwahiyo ni vizuri kukawa na maelezo mazuri kwanini swal hilo lilikua ni lazima

Mapadre na masheikh Ninadhani kua hawa wote wanatumia uhuru wao wa kutoa maoni wanaweza wakawa sawa au wakakosea kwa kuangalia evidence walizo nazo ktk kuliapproach swala hili

Serikali ina mchango mkubwa ktk usuluhishi wa swala hili kwani kila watakavyojaribu kuliweka wazi kwa raia ndio litatoa nafasi kwa raia kulifahamu vizuri na kujua nani hasa alihusika na kama kuna adhabu yoyote au malipo nani anastahili
 
Katika hali inayoonesha kuwa lengo lao ni kuwajibu Maaskofu wa ARUSHA, Viongozi wa dini ya Kiislam wamesema wanamtambua Meya wa ARUSHA na watampa Ushirikiano wote.

Haya sasa Mary Chitanda (Chanzo cha yote), tukusikie ukiwaambia Mashekh nao wavue Kobaz, Misuli, Kanzu, vilemba na Balaghashia (Kama ulivyowaambia Maaskofu wavue Majoho sijui ulikuwa unataka wabaki Uchi) na kuingia ulingo wa SIASA.
Au ulikuwa unamaanisha kuingilia kwao siasa ni kwenda kinyume na matakwa ya CCM

hawezi kusema kitu huyu sijui Kitanda, angewafokea kama wangekuwa kinyume cha ccm, anapenda watu wanao isapoti tu ccm.

Ingekuwa mashehe wamemkataa huyo Meya mchakachaji wa Arusha, asubuhi angeitisha press conference kuwaponda, sasa ahaaa!! Atawasifia. Shame on her.
 
Usilete ubishi usiokuwa na manufaa mimi mwislam usinilazimishe kuiamini bakwata labda uwe umetumwa nitakuelewa naijua bakwata ndani nje viongozi wao historia zao tangu enzi za Sheikh Kassim Bin Jumaa kwahiyo mama mida ya mchana hii ni bora uingie jikoni ufanye mambo usishadadie mambo usoyajua.

Point yangu ni kuwa Uislam hauruhusu kudhulum nafsi ya binadam tena hasa mtawala kudhulum nafsi ya anaemtawala. Sasa kama wapo masheikh wamehalalisha itakuwa kwa kupewa chochote kwani hamkumbuki hata hao wanaokemea uovu sasa walipaza sauti na kusema fulani ni chaguo la Mungu?

Kitu muhimu sote tujue, risasi hazichagui muislam wala mkristo na kuna tetesi kuna mama wa OCD gani sijui risasi zilimfikia na alikuwa mahututi seliani. Kwahiyo panapotokea machafuko waislam na wakristo wote wataumia kama ilivyo kwa mgao CCM. Chadema, CUF, PPT, UDP, TLP wote wanaipata sawasawa wala huoni wa CCM wakipendelewa kwa hilo.

Mi siko hapa unielewe ndugu yangu,natoa mawazo yangu,naona umeenda hadi kwenye suala la kupika,ndiko wanaume dhaifu mnakoishiaga baada ya kuishiwa hoja,sipiki mimi napikiwa na BAKWATA hawajanituma.Mimi nilikuwa naongelea suala la umeya,wewe naona unaongelea suala tofauti na ninachozungumza.Suala la polisi kuua watu wasio na hatia hakuna anayeliunga mkono,tulichokuwa tunajadili na Mashekh kumuunga mkono meya aliyechaguliwa kinyume na taratibu............sasa wewe na hao wanookuunga mkono naona mnakwenda kwingine,wanajiunga tu na mada wasizozijua na kejeli juu,yaani sitoacha kutoa maoni yangu kwa kelele za watu wanaofikiri wanaelewa sana,tukaneni,fanyeni lolote ni lazima tufike sehmu tukubaliane kutokukubaliana na ndo discussion za great thinkers,hutaki waweza jitoa.
 
Mkuu mijitu mingine ukibishana nayo utageuka mwehu....achana nao. Asiyekuelewa katika posts zako ana mtindio kwenye halmashauri ya ubongo wake

Hoja yako ni nini hapo?lione kwanza kubwa zima............................lina mtindio wa ubongo ndo maana linatusi watu ovyo!
 
Mi nimewazoe masheih, kabla JK hajasema chochote kuhusu katiba walikaa kimya, baada ya JK kugusia kesho yake tukasikia kwenye vyombo vya habari kwamba nao wanataka katiba mpya, inaonekana wanaenda na matukio, ATAKAYENIITA MDINI POA TU, lakini lazima niwaambie ukweli kwa kuwa rais ni mwislamu wanaona kila kinachofanyika ni sawa hata kama ni dhuluma!

And i remind them that the most prominent place in hell is awaiting for those who are neutral on most important issues !!!!!!!!!!!!
 
am not sure...but akili yangu inanituma watanzania sasa mbegu ya udini inanza kuchipua kwenye mioyo yetu..the way pipo zinavyochangia mada yenye mwelekeo wa kidini hasa matamko ya viongozi wa kidin....it seems kila mtu anavutia upande wake(dini anayoiamini ) tunaelekea wapi bandugu????????????

Hujakosea mkulu

Tufike mahala tuliangalie suala la Arusha objectively,

ni tatizo la kitaifa kwa maana linatuhusu wote,ni tatizo la kisiasa ambalo chanzo chake ni tatizo la kijamii la kuongezeka pengo la wenye nacho(haves) na wale wasio nacho(havenots) ambalo ni zao la tatizo la msingi la kiuchumi ambalo ni mgawanyo usiofaa wa keki ya taifa,

watu hawawachukii watawala waliopo madarakani, bali wanachukia hali duni ya maisha wanayoishi.

So let us now join together , kukosoa,kuonya na kushauri njia muafaka ya kutatua matatizo yetu sisi kama taifa.

What we are doing here kwenye forum and elsewhere, is exactly ndicho wanachotaka tufanye.

HII SIYO TANZANIA TULIYOKUWA TUNAIFIKIRIA KUIJENGA
 
Jamani Stivini Wasiraaliwasihi Maaskofu pale Kawekamo Mwanza (09.01.2011) ya kuwa serikal na vyama vya siasa vikikosea & WAKEMEWE kutovunja tunu tulizonazo tangu uhuru. TAABU NI NINI?
 
Katika hali inayoonesha kuwa lengo lao ni kuwajibu Maaskofu wa ARUSHA, Viongozi wa dini ya Kiislam wamesema wanamtambua Meya wa ARUSHA na watampa Ushirikiano wote.

Haya sasa Mary Chitanda (Chanzo cha yote), tukusikie ukiwaambia Mashekh nao wavue Kobaz, Misuli, Kanzu, vilemba na Balaghashia (Kama ulivyowaambia Maaskofu wavue Majoho sijui ulikuwa unataka wabaki Uchi) na kuingia ulingo wa SIASA.
Au ulikuwa unamaanisha kuingilia kwao siasa ni kwenda kinyume na matakwa ya CCM

Hao masheikh hawafikiri vizuri - they are mostly reactionaries!
 
Hoja yako ni nini hapo?lione kwanza kubwa zima............................lina mtindio wa ubongo ndo maana linatusi watu ovyo!
michelle, siku zote argument zako ni smart , imekuwaje tena hapa ukateleza
 
Katika hali inayoonesha kuwa lengo lao ni kuwajibu Maaskofu wa ARUSHA, Viongozi wa dini ya Kiislam wamesema wanamtambua Meya wa ARUSHA na watampa Ushirikiano wote.

Haya sasa Mary Chitanda (Chanzo cha yote), tukusikie ukiwaambia Mashekh nao wavue Kobaz, Misuli, Kanzu, vilemba na Balaghashia (Kama ulivyowaambia Maaskofu wavue Majoho sijui ulikuwa unataka wabaki Uchi) na kuingia ulingo wa SIASA.
Au ulikuwa unamaanisha kuingilia kwao siasa ni kwenda kinyume na matakwa ya CCM

Toka lini mashekhe wakaunga mkono maaskofu? mara nyingi hizi huwa ni pande mbili zinazokinzana, sijui ni kwa nini. Lakini mwisho wa wote ukweli utajulikana whether ni hao mashekhe au maaskofu
 
michelle, siku zote argument zako ni smart , imekuwaje tena hapa ukateleza

Kuna watu wanaudhi kaka,mtu ukienda tofauti nao lazima usikie watukane mara sijui una mtindio wa ubongo,mara sijui halmashauri ya ko ikoje,mara nenda jikoni????tatizo si kila mtu kakulia kuabudu wanaume,mimi sipendi kabisa mtu aache kutoa hoja aanze matusi na kuingilia wajibu wangu kama mwanamke,ndo hao hao hawaamini uwezo wa wanawake wao wanaamini sehemu yetu ni jikoni tu..........mimi nasema popote naweza kuwa na nina uwezo hata kama mi ni mwanamke.....tuendelee na mjadala mkuu manake,nilishapokea lawama za kutoa watu nje ya mjadala!
 
kwa mtazamo wangu hawa mashekhe ni kama wale wazee wa dar es salaam.. wanaona tatizo kwa macho yao ya nyama lakini bado wanapiga vigelegele so they have benefits behind this matter
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom