Ma rais wa staafu wasiendelee na siasa

Mc Kihiga

Member
Mar 17, 2011
36
3
Mimi ni Mgeni kabisa ktk uwanjaa huu wa {JF} nashukuru sana kwa uwepo wa safu hii.

Ndugu zangu mimi nimefikiri sana kuhusu hawa Ma-Rais wastaafu ktk Bara letu {Africa} especially TZ kwa fikra zangu binafsi ningependa sana baada ya kutawala kwa awamu yake basi na kustaafu basi asiwe tena Mwanasiasa astaafu pia siasa kabisa kwa nini;

i} Kulinda heshima yake baada ya kutumikia Wanachi wake.

ii}Wananchi aliokuwa akiwatumikia si wa chama kimoja na bali ni Raia wote ndiyo maana akaitwa Rais wa Tanzania.

iii}Atakuwa ni Mzee wa Taifa hivyo itamuwezesha kutatua matatizo ya ndani ya Nchi bila kushakiwa huku akisikilizwa na jamii yote nk.
 
Back
Top Bottom