K Kizevunds New Member May 4, 2012 3 0 May 4, 2012 #1 Jamani me kinda, nahitaji ukaribisho humu kwenu. Ila sina kamba mguuni.
Katavi Platinum Member Aug 31, 2009 41,983 12,701 May 4, 2012 #2 Karibu sana jamvini, wewe ni man au lady?
patriq Senior Member Apr 17, 2012 145 53 May 4, 2012 #3 karibu katika mkeka ila usiwe mnafiki humu ni hard talks tu