Ma- JOBLESS NI WENGI JAMANI! SERIKALI ITAZAME HILI SUALA!

Hawa nahisi kuna vihela kidogo wamepewa ili kuwarusha roho tip top we ukiwaangalia hao unafikiri wote ni wapenzi wa huyo dogo janja! Upuuzi mtupu
 
Anayetaka kuwa Rais wa nchi hii namuonea huruma sana, maana kazi ya kuongoza Taifa lililojaa mazezeta ni kazi ngumu.
 
Mbona msafara wa kikwete unabeba watu zaidi 50 kumsindikiza tu kwenda shambani kwake kucheki mahindi...kwani na hao hawana makwao au kazi za maana za kufanya?

Hii nchi ndo tulivyo, vitu visivyo vya maana tunavipa muda na vya maana tunapiga domo kazi hatafanyi
 
Back
Top Bottom