Ma HR jamani....

kuwa she ni tatizo?
Wapi ambapo hujailewa mkuu?

Siyo tatizo ni kwamba nimeshangaa mana siku zote nlikua najua ww ni me. sijaelewa hapo uliposema toke primary, secondary mpaka umepata kazi hujawahi kuchakachuliwa .......ndio nikauliza YALIYOMO YAMO mpaka sahv?!! na kuna mwingine hapo juu akakuuliza TUTAJUAJE kama ni kweli hujawahi .......
 
Kumbe ww ni she!!! Hapo juu unamaanisha nn?? yaliyomo yamo au?

hapo ndipo ninapoipendea JF - sometimes huwezi jua mtu unayejibizana naye ni gender gani, whether ni kijana, mzee, bosi, mchapa lapa, muuza sura, pori etc... it all adds fun to the whole damn thing
 
Alibanwa na ukata baada ya kijana kutotoa pesa ya matumizi ikabidi ajirahisi.Na itabidi awe anatoa K kila HR anapohitaji ili kulinda kibarua vinginevyo atatafutiwa sababu za kufukuzwa kazi na kuletwa mwingine wa kumegwa!Pole mwee!Mwambia hicho kimeo kijiamini kitapata kazi kama kina vyeti so mambo ya kufunuliwa funuliwa ala!
 
ha ha ha h ah ah aha h aha h ah ahaha ha ha ha win-win situation.
 
hapo ndipo ninapoipendea JF - sometimes huwezi jua mtu unayejibizana naye ni gender gani, whether ni kijana, mzee, bosi, mchapa lapa, muuza sura, pori etc... it all adds fun to the whole damn thing

JF never boaring!!
Source: The boss
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom