Ma HR jamani....

C.T.U

JF-Expert Member
Jun 1, 2011
5,070
3,718
Kiukweli asilimia kubwa ya ma HR wa maofisini (SIO WOTE) hasa wa kiume wana tabia moja mbaya sana ya kukagua dada zetu hadi kimwili ndio sawa ana shida lakini sio vizuri kuchukua hiyo advantage kwa kuwaharibu watoto wa watu.

Ninaongea hivi kwa hasira coz wameshanimegea kimeo changu juzi kati inauma sana kwakweli
 
hakuwa na sifa za kutosha kupata alichopata.
Bora kabust sivii yake kwa kumegwa.

Dunia hii ya sasa unamegwa kupata kazi? Ni hobby yake tu hata kama isngekuwa kazi.
Na akienda semina huko, pole wee anarudi na ujauzito kabisa.
 
pole sana kaka ila ajira sikashapata hata hivyo umesema kimeo hvyo usijal sana mana vimeo lazma viliwe ha,ha,haaaa.,..
 
sasa kama ni "kimeo" ulitaka iweje?
Wanaume wengine nyie hovyo kweli, ungekua unajiamini ungekua unamwita hivyo mkiwa pamoja badala ya kujishebedua hapa jf alafu ukirudi uraiani unachapia na mpenzi mara sijui sweetie.
dada yangu usipanic kwa kuhisi kumuita mpenzi wangu kimeo ni tusi hiyo ni romantic language yetu kama ninyi mnavyoitana sweet, honey nk
welcome to 21 century
 
dada yangu usipanic kwa kuhisi kumuita mpenzi wangu kimeo ni tusi hiyo ni romantic language yetu kama ninyi mnavyoitana sweet, honey nk
welcome to 21 century

huja2lia, kimeo? 21st? Ndo mana dem wako kamegwa kaona u dont worth her..
 
kimeo chako kitakuwa ni cha "kichina" kama sijakosea,acha kulalamika sasa na umsaidie kula mshahara."Ukitaka kula sharti uliwe" by JK.
 
dahhhh Pole sana..
sasa umechukua hatua gani wewe kamu mume unaemjali mkeo?
 
hahaha mwengine...jamani vijana jueni kabisa kuwa k sio yako peke yako kaa mkao wa kula k na kusepa any time

MPENDWA ! Na iwe hivyo usemavyo but, pigia mstari kwamba hiyo kitu uisemayo kwa initial K ma'ladies hawakuwekewa pale kwa matumizi yao! Users are male FULL-STOP ! Mf. Matiti ya Ng'ombe hayapo pale yalipo kwa matumizi yake!
Ni kwa ajili ya Ndama na Binadamu ndiyo wanywao maziwa! Mwenyewe hanywi ! Tafakari!
 
Sasa kama ni "kimeo" ulitaka iweje?
Wanaume wengine nyie hovyo kweli, ungekua unajiamini ungekua unamwita hivyo mkiwa pamoja badala ya kujishebedua hapa JF alafu ukirudi uraiani unachapia na mpenzi mara sijui sweetie.

Lizzy inawezekana kaanza kumuitaa kimeo baada ya kuibiwa
 
dah inawezekana kasota sana bila job..na we tafuta wa chini yako umege....
 
Asilimia 95 ya the so called "wanawake wa maofisini" regardless ana cheo gani wanafanya ngono na wafanyakazi wenzao wa kiume... Kwahiyo CTU, piga moyo konde, maisha ndivyo yalivyo...

Source: Mimi mwenyewe - baada ya kuafanya utafiti wa miaka 20!
 
Haya leo Kimeo kesho utamwita kiruka njia keshokutwa atakuita Aotomatiki tella mashine!!Almaarufu kama ei tii emu!!
 
Asilimia 95 ya the so called "wanawake wa maofisini" regardless ana cheo gani wanafanya ngono na wafanyakazi wenzao wa kiume... Kwahiyo CTU, piga moyo konde, maisha ndivyo yalivyo...

Source: Mimi mwenyewe - baada ya kuafanya utafiti wa miaka 20!

Ukisikia umbea ndo huu ishia huko huko wengine hatuko hivyo
 
kiukweli asilimia kubwa ya ma HR wa maofisini (SIO WOTE) hasa wa kiume wana tabia moja mbaya sana ya kukagua dada zetu hadi kimwili ndio sawa ana shida lakini sio vizuri kuchukua hiyo advantage kwa kuwaharibu watoto wa watu ninaongea hivi kwa hasira coz wameshanimegea kimeo changu juzi kati inauma sana kwakweli
loh..... kwaio huyo demu wako kaja kbs kukuambia kuwa nimemegwa na bosi ndio nimepata kazi?
kama ni ivyoo bs ni kaazi kweli kweli na ni dhahiri hamuheshimian dats y na ww umethubutu kumuita mwenzio kimeo mmh.
pole wee.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom