Ma doctor msaada

Naloli

JF-Expert Member
Aug 26, 2010
416
81
Nina ndugu yangu wa damu wa kiume anatatizo la Mapumbu yake ni makubwa usawa wa ngumi yake, alipoenda Hosp kuangalia kama anatatizo la busha/matende wakamwambia hana tatizo hilo.

Tatizo ni kuwa alidhani anatatizo la busha walipomwambia ni salama hakuangalia matatizo yanayo sababisha tatizo hilo. Kiufupi pumbu zake hazilegei mara kwa mara na muheshimiwa uwa mdogo ufufuka pale anapo dinda na size uwa ya kawaida kama nci 5 na point, kinachomkele ni ukubwa wa huo mzigo aelewi ni tatizo au vp.

Mimi siku zote nimemwambia ni maumbile tu na si tatizo na kama anakehereka aende hosp tena. Lakini kwa kuwa hapa kuna jukwaa hili naomba ufafanuzi wenu ili kunusuru hii hali, jamaa ana mke na watoto watatu.

Madaktari msaada wenu unaitajika.
 
Hilo ni tatizo lako usimsingizie ndugu yako. Jambo moja hujasema, je, huwa anapanda mlima?
 
Jamani tatizo lliwe lake la mdogo wake tutoe msaada tu,wengine huwa hawapendi kuonekana wana matatizo jameni!

Karibuni madactari.
 
Kwa nn unamchunguza ndguyo ivo inamana nyeti zake anakuachia ufanye unavotaka? Kama ni tatzo lako ucmzngizie m2 mwngne.
 
Kuvimba pumbu inaweza kuwa...1. Mfuko wa pumbu (kende) ndio umevimba, mara nyingi busha ambalo hujaza maji kwenye mfuko wa kende, 2. Kende zenyewe kuvimba. Amuone daktari wa upasuaji (surgeon) amuexamine vizuri kujua kama kuna uvimbe au la..na kama kuna uvimbe ni wa kende au mfuko wake.
 
Jamani ebu tuheshimu maadili.

Kama wewe siyo doctor acha porojo, haikuhusu kama amemsingizia ndugu yake, ni yeye tunachohitaji ni RIWA atushauri nyie wanasheria kaeni kushoto haiusu na pumbu haziko kwenye msahafu wenu wa sheria. RIWA Big up!
 
Kama ni yeye au mdogo wake siyo hoja, anachataka yeye ni ushauri wa Daktari.

Hivi humu ndani hawapo ma-Daktari? Tatizo la kuvimba pumbu na uume kua mdogo kabla ya kusimama/dinda linawasumbua wengi, jibu likitoka kwa mtu mmoja linakua limewasaidia wengi kwa wakati mmoja.
 
JF sina hamu nao kila mtu ni doctor.

Tunaomba msio madoctor muwe waungwana kwenye hili jukwaa maana wakati mwingine mnatenda isivyo kwa wagonjwa.
 
Nina ndugu yangu wa damu wa kiume anatatizo la Mapumbu yake ni makubwa usawa wa ngumi yake, alipoenda Hosp kuangalia kama anatatizo la busha/matende wakamwambia hana tatizo hilo. Tatizo ni kuwa alidhani anatatizo la busha walipomwambia ni salama hakuangalia matatizo yanayo sababisha tatizo hilo. Kiufupi pumbu zake hazilegei mara kwa mara na muheshimiwa uwa mdogo ufufuka pale anapo dinda na size uwa ya kawaida kama nc 5 na point, kinachomkele ni ukubwa wa huo mzigo aelewi ni tatizo au vp. mimi siku zote nimemwambia ni maumbile tu na si tatizo na kama anakehereka aende hosp tena. Lakini kwa kuwa hapa kuna jukwaa hili naomba ufafanuzi wenu ili kunusuru hii hali, jamaa ana mke na watoto watatu.

Madaktari msaada wenu unaitajika
jamaa ana mke na watoto watatu anakuachia umchunguze huko kwenye red duu this is new, never heard tangia nasaliwa wenu ili kunusuru hii hali hapa napo kama unajizungumzia wewe hivi? alafu ukilinganisha na maelezo yako ambayo sio rahisi mtu akuonyeshe inaonekana ni wewe.

Nakupa pole Mr. Naloli na nakushauri urudi tena Hospital ukizingatia na ushauri wa Riwa.
kuna maumivu yoyote unayapata?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom