Ma dk kugoma j5;wenye wagonjwa jiandaeni za tax na ambullance

BASIASI

JF-Expert Member
Sep 20, 2010
9,735
5,003
Pengine asilimia kubwa ya mgomo naiona inakuja kwa kuwa masharti yao kwa huyu rais wenu ni shida tupu ukiangalia mizigo yenyewe anaichagua yeye mwenyewe
umoja wama dk umetangaza mgomo ifikapo j5 ijayo kama awajatimiziwa mahitaji yao wakitangaza la muhimu zaidi ni
1.waziri wa afya kutangaza kujiuzulu
2.naibu wake kutangazakujiuzulu
3.na hii yote ifikapo saa tano na dk 59 jumanne usiku else jumatano mgomo kama kazi
4.mahitaji mengine waliioorodhesha
5.na mengineyo

ndugu zangu pengine this time amekuwa waungwana kutupa siku tano za kujiandaa ila tunaomba serikali kusikia sauti zao na kutenda yale wanayoitaji else inabidi watanzania tuingie barabarani kuungana nao
 
Back
Top Bottom