Ma CEO wa mashirika ambao wangefaa kuwa Mawaziri

Umewaza nini mpaka ukaamua kuwachagua hao? Kwani lazima kila siku hao hao tu? Zipo new blood nyingi tu basi majina hayajulikani.

Ndo hapo sasa! wakati sote tunajua, sio kila king'aacho ni dhahabu!
 
Kawaambie wamesema wote hawakubaliki. Usipende kutumiwa kama zuzu
 
huyu MSWAHILI anafaa kama akivaa suti?

IMG_4942.JPG

Huyu Dau Ni mdini sana, Kipara kazi mpaka use ali, shabani nk ukiwa Joseph una Waikato mgumu, halafu magazine ya msikitini ya nini ofisini?
 
Huyu Dau Ni mdini sana, Kipara kazi mpaka use ali, shabani nk ukiwa Joseph una Waikato mgumu, halafu magazine ya msikitini ya nini ofisini?

Kila siku ma mikanzu kanzu yake na maragahshia

maudhi matupu...

Kwani hawezi kuvaa kofia ikamkaa vizuri kichwani?

Lakini muhim zaidi je shirika lake linaingiza faida au bas tuu?
 
Ndugu Yangu, Kwanza I wont to tell you, mimi nilikuwa namchukia huyu Bw., kwa sababu hizo hizo ulizozisema, and than tukaja kujuana kikazi tena vizuri. Niko impressed sana na namna anavyofanya kazi, very transparent. Kuhusu kama NSSF inafanya Vizuri au Vipi, Kwani Hukusoma Yearly report Yao, Its the Best Parastal Organization in Tanzania, na the Only Profitable Workers fund in Eastern Africa. Kuhusu Udini huo ni Uongo, Deputy wake ni Mkristo and most of the Senior management. As for Kanzu na Kofia thats his preference and personal, Na ni vazi la Heshima, hata mapdre wetu wanvaa Kanzu. Tusianze kuingilia namna watu wanvyo vaa, as far hayuko uchi wala hakuvaa herini au hana dred locks.
 
Huyu mwenye suti nyekundu je??

Lakini kweli DAU angekuwa mdini angekubali staff wake avae hivyo?

Huyo anaitwa EuniceChiume ndio PR manager or whatever you wanna call it wa NSSF

Katika hali ya kawaida nilitegemea huyo angekuwa full shungi na hijabu juu maana bosi wake tushaambiwa Mdini kwa sababu ya mikanzu na mibalagashia
 
Abdallah Zombe-mambo ya ndani ingemfaa sana huyu jamaa ni mchapakazi kwelikweli.
 
Kila siku ma mikanzu kanzu yake na maragahshia

maudhi matupu...

Kwani hawezi kuvaa kofia ikamkaa vizuri kichwani?

Lakini muhim zaidi je shirika lake linaingiza faida au bas tuu?
Faida anaingiza ila tatizo jamaa ni mdini sana.
Ukiomba kazi nsf lazima uwe muisilamu, na tunakoelekea ni kubaya
 
Faida anaingiza ila tatizo jamaa ni mdini sana.
Ukiomba kazi nsf lazima uwe muisilamu, na tunakoelekea ni kubaya

Sidhani kama huyu Chief PR wa NSSF aliyevaa nyekundu ni muislam...angekuwa musilam sidhani kama Dau angekubali avae kivuni namna hiii

IMG_4942.JPG
 
Back
Top Bottom