M4Change to M4Death....R.I.P watani; Nape

m4c inawatesa wanakuja na kila mbinu wanabomolewa kaz kweli peeeoplzzzzzzzzzzzz makupa, rits, mkigoma, mwiba, nape, njiwa.......... Poweeeeeeeeeeeeeeeeeer wimbo mzuri kweli na mtaucheza sana huu mziki
 
Hahahahahaaaa! Nimeipenda hii toka kwenye wall ya Katibu Mwenezi wa CCM, Nape Nnauye.

Tunakokwenda utatukuta nakushauli ludi ubungo then tatuta shabby bus nenda dom ukishuka tafuta milembe hosp watakusaidia shame on you toa thread yako hapo juu mshauli na huyo nape wako
 
I support Nape because he is not totally wrong. He should only be told that the moivement might mean death to his party, so, he might be right somehow na nampongeza kwa kuona mbali
 
In politics every word you say its taken sarious.we dont jok it politics.jokes peleka kwenye usimba na yanga mr nape.only a dunce can make such a joke.
 
Hv nepi nae ni mwanasiasa?na wewe mleta mada umevimbiwa pilau ya eid kiasi kwamba unashindwa kumuelewa nepi?ni hv M4C=Chadema na m4death =ccm manyang'au...umenisoma?
 
Kuna umuhimu kwa wanasiasa wawe wanaenda kwanza kwenye Vyuo Maalum vya Siasa kuondoa Ujinga....
 
kwa wanaokumbuka historia ya taifa letu, watanzania waliweka matumaini yao kwa chama cha TANU na baadae CCM hasa wakati wa Mwalimu, walifanikiwa kujenga misingi ya inch yetu ambayo iliipatia Tanganyika na baadae Tanzania sifa kemukemu. LAKINI KWA SASA HALI NI TOFAUTI,MAMBO YANAKWENDA KOMBO, WATANZANIA HAWANA MATUMAINI NA CCM NA SERIKALI YAO KWA UJUMLA. JAMBO HILI LINADHIHILISHA KUWA CCM ILIKUWA TUMAINI NA SASA INAKUFA NA KIKUNDI KIKUBWA CHA WATU WAKIONGOZWA NA NAPE WAME "INITIAT" MOVEMNT FOR DEATH OF CCM KWA INCHI NZIMA NA WAMEANZA KWA MWENYEKITII WAO, WAMEMLISHA UNGA WANDELE KIASI CHA KWAMABA HATA UWEZO WAKE WA KUFIKIRI UMEPUNGUA NA UMEKUWA MDOGO NDANI NA NJE YA CHAMA.
IFIKIE KIPINDI CCM WAKUBALI NOW THEIR APROCHING TO DEATH, THEY SHOULD PRAY BEFORE SOME ONE PRAY FOR THEM, BECAUSE 2015 IS AROUND THE COURNER.
 
hapo nape hilo wazo aliliwaza kwa mda wa mwezi mzima,mwenyewe anaona hiyo ni bonge ya strategy,brainless politcian
 
Back
Top Bottom