M4Change to M4Death....R.I.P watani; Nape

Kageuka

JF-Expert Member
Jun 22, 2012
241
59
Hahahahahaaaa! Nimeipenda hii toka kwenye wall ya Katibu Mwenezi wa CCM, Nape Nnauye.
 
Umeipendea nn sasa?
Inafurahisha au?
For me its as childish as playing in sand!
 
sasa hapo nn kinakufurahisha ,maana kama kiongozi kama yy anaandika vitu visivo na mashiko unategemea nn.
 
Wataalam wa Afya wamekuwa waksisitiza sana kutotumia baadi ya vipodozi kama Carrolitte kwamba zinasababisha Cancer. Huenda mwenzetu zimeshaanza kumuathiri ubongo. Anahitaji msaada.
 
Back
Top Bottom