M4C yavuruga Chato kwa Magufuli. CCM yaambulia vijiji 3 kati ya 11. Bendera na kadi bado kikwazo

kwakweli kamanda unatisha sana naomba utangaze nia mapema umn"goe magufuli BIG UP Sana kamanda.
 
Freedom is coming very soon. Kwa walio makao makuu ya CDM wanapaswa kuona, kujua na kuchukua hatua. Mambo ya kuwa na vifaa hayapaswi kuwa lege lege. Ikiwa walikuwa wakikaa kwa kudhani chama kitakuwa na kasi kubwa baadae wajue kuwa huu ndio wakati. Jarife limetupwa, samaki ni wengi, inapaswa kuandaa mazingira ya kuwahifadhi. Wanaojiunga yapasa wahakikishiwe na kupata mwelekeo chanya kwa utimilifu wa ndoto zenu. Bila hivyo CDM mtafurahia kuvuna na hatimaye mtashangazwa kwa kutoweza kutoa mwelekeo kwa faida itokanayo na mavuno.
 
makamanda sijaelewa kidogo, ni kwamba uchaguzi wa serikali za mitaa au? naomba niwekwe sawa kidogo
 
Pale mwanzo tulikuwa tukiwanyatia lakini sasa tunawatimua waziwazi wezi wakubwa wa wa amali za Tanganyika Jakaya tunakuja Ikulu andaa makabidhiano kabisa
 
Ta Muganyizi katika mikutano ya M4C naona huwa kuna bakuli linapita kwa ajili ya kuwezesha operesheni hii, nashauri chama kiandae utaratibu wa kutengeneza makusanyo ya fedha hizo na matumizi yake kwa uwazi, pesa yeyote ya umma ni vema kuwe na accounting mechanism kwa umma ili kuonyesha nguvu ya umma kweli, umma unapaswa Kuwa na taarifa ya mapato na matumizi kuondoa maneno ya chini chini.

Lolita Tika hili itakuwa rahisi hata ku ha biaya zaidi kuhudumi ukosefu wa vifaa vya chama. Huu ni wakati wa KUA za kutenda tuna HO yu iri wakuu zangu. Kila la kheri makamanda... Maana kile la juzi kuhusu viongozi kutumia MA-VX laweza kuyumbisha imani ya Wana chama.
 
E bana eeeeeeeeeee! Hii ni noma. Usiniambie makatapila yanapita halafu yanaachia vijiko vimalizieee!!!! Hivi majuzi Slaa na Lema walicheza sana ukanda huo na mrejesho ndio huooooooooooooooooooooooo!!! Halafu magamba wanajifariji eti wanatafuta tu per diem? Uongozi na kazi makini daima huwa na matokeo chanya na matokeo yenyewe ndio hayo.

Sasa hivi matingatinga yote yamehamishiwa kusini magamba wategemee habari za kuwasha muda si mrefu ujao. Mungu ibariki Tanzania na watu wake - AMEN.
 
safi sana;cdm,tuwapeleke mpera mpera mpaka wasikie,wakishtuka wanakuta mwari c wao tena,enough is enough 4 chechemeee(ccm),kaa mbali na ccm kwa maisha salama,ccm haikubaliki,wakinge uwapendao na ccm.
 
Ni heri Lema awe mbunge kwa usalama na afya ya ccm.

Mungi hakuna usalama wowote. Ni sawa na mtu akuulize, hivi umeacha kupiga mkeo? jibu lolote, pamoja na kunyamaza kimya, vina maana ile ile. Hivyo Lema awe mbunge asiwe kuumia ni kule kule.
 
Ta Muganyizi katika mikutano ya M4C naona huwa kuna bakuli linapita kwa ajili ya kuwezesha operesheni hii, nashauri chama kiandae utaratibu wa kutengeneza makusanyo ya fedha hizo na matumizi yake kwa uwazi, pesa yeyote ya umma ni vema kuwe na accounting mechanism kwa umma ili kuonyesha nguvu ya umma kweli, umma unapaswa Kuwa na taarifa ya mapato na matumizi kuondoa maneno ya chini chini.

Lolita Tika hili itakuwa rahisi hata ku ha biaya zaidi kuhudumi ukosefu wa vifaa vya chama. Huu ni wakati wa KUA za kutenda tuna HO yu iri wakuu zangu. Kila la kheri makamanda... Maana kile la juzi kuhusu viongozi kutumia MA-VX laweza kuyumbisha imani ya Wana chama.

hilo LIBAKULI ambalo huwa linapita kwenye mikutano HATUELEZWI MAPATO NA MATUMIZI.Hata kidogo tulichonacho mabepari akina Ndesa na Mbowe wanatudanganya jaman loh! BORA tuvue MAGWANDA tuvae UZALENDO jamani.
 
Back
Top Bottom