M4C yavuna 1200 Simanjiro

Crashwise

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
22,227
8,735
lema.JPG
Wakiondoka kwenye viwanja hivyo kuelekea kwenye chopa
wakipata kadi.JPG
DSC06823.JPG
zoezi la utoaji kadi za chadema
milya.JPG
Millya akihutubia Kata ya Mererani
card.JPG
miongoni mwa vitu vilivyorejeshwa na waliokuwa wanaCCM
Source: Habari Tanzania Grace Macha
 
Nzuri, iendelezwe kwa mwigulu, ADEN, SITTA, DEWJ NA KWA WAPUUZI WENGINE
 
Magamba walikuwa wanafanya mambo yao huko Kigoma hivi karibuni. Hivi walivuna magwanda mangapi?
 
Nzuri, iendelezwe kwa mwigulu, ADEN, SITTA, DEWJ NA KWA WAPUUZI WENGINE

Mkuu mpaka kufikia 2015 hakuna kata ambayo itakuwa haijafikiwa na viongozi wa juu wa chadema haya yalikuwa maneno ya Freeman Mbowe baada ya uchaguzi wa mwaka 2010 na kusema kama wabunge walioingia bungeni kupitia chadema wanaamini kuwa kazi imeisha wana jidanganya kazi ndiyo kwanza imeanza....
 
Excellent job. Heading yako ingeweka Neno picha (picha; M4C yazoa 1200 simanjiro) ili watu wajue kuwa umeweka picha. Ni ushauri tu. Wengi tunapenda picha kwa kuwa haina ubishi.
 
Excellent job. Heading yako ingeweka Neno picha (picha; M4C yazoa 1200 simanjiro) ili watu wajue kuwa umeweka picha. Ni ushauri tu. Wengi tunapenda picha kwa kuwa haina ubishi.

Siku nyingine nitafanya hivyo mkuu....
 
Siku nyingine nitafanya hivyo mkuu....

Kazi nzuri sana na hongera kwa usikivu wako pamoja na ushauri ya kuwa jukumu hili si la viongozi tu bali ni letu sote.
Nasivu pia taarifa zetu hazina longolongo ila za wenzetu ni aibu tupu.Ila nami najipanga kwa kumwomba Rab anijalie nguvu, amani na uwezo ili 2015 niingile mjengoni na pia tuzidi kuombeana ili yale tuyakusudiayo yatimie kwa uwezo wake.
 
Kazi nzuri ila binafsi simuamini kabisa huyu Ole Milya unless awe amebadilika ila kama ni yule ninayemjua basi hakuna kitu hapo
 
Pamoja na wewe maana hii vita siyo ya mbowe, Zitto, Lema peke yao bali ya watanzania wote wanaochukizwa na hali ya nchi hii.
I agree with you Kamanda, hii vita ni ya wazalendo wote wa Tanzania. we need fight(diplomatically) until revolution come vifa CHADEMA and M4c
 
Back
Top Bottom