M4C yatinga Simanjiro tena

Crashwise

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
22,227
8,735
M4C ipo Simanjiro, Jana walifanya mkutano kwenye kijiji cha Sukro, masaini Kabisa. Leo watafanya kwenye kijiji cha Terat ambayo ni centre kubwa kulinganisha na Sukro. Ni operesheni ya siku Tatu Mpaka Kesho ikiongzwa Joshua Nasari na Milya, na Paulina Gekul MB viti Maalum mkoa wa Manyara. Wamasai wameamka sana, wengine Hata kiswahili hawajui hivyo wanalazimka kupiga na kimasai au kutafsiri. Wanachama zaidi 110 hivi walijiunga chadema Jana. Wengi wanamlalamikia na kujutia kuwa na Sendeka Kama MB wao. Kwa Kweli Hali ni mbaya. Hakuna maji, Barabara, huduma za afya, umeme, minadani hakuna vyoo.
 
Attachments

  • photo.JPG
    photo.JPG
    365.9 KB · Views: 390
  • photo(1).JPG
    photo(1).JPG
    340.8 KB · Views: 365
Namwonea huruma Ole Sendeka. Ubunge upo matatani, kashfa ya kuhujumu Tanesco imeiva! Kazi anayo.
 
M4C ipo Simanjiro, Jana walifanya mkutano kwenye kijiji cha Sukro, masaini Kabisa. Leo watafanya kwenye kijiji cha Terat ambayo ni centre kubwa kulinganisha na Sukro. Ni operesheni ya siku Tatu Mpaka Kesho ikiongzwa Joshua Nasari na Milya, na Paulina Gekul MB viti Maalum mkoa wa Manyara. Wamasai wameamka sana, wengine Hata kiswahili hawajui hivyo wanalazimka kupiga na kimasai au kutafsiri. Wanachama zaidi 110 hivi walijiunga chadema Jana. Wengi wanamlalamikia na kujutia kuwa na Sendeka Kama MB wao. Kwa Kweli Hali ni mbaya. Hakuna maji, Barabara, huduma za afya, umeme, minadani hakuna vyoo.

Kila la kheri mkuu inatia uchungu kuona watu pamoja na shida zote wanpenda nyi nyi em!
 
Huyu Ole Medeye ni hasara kubwa sana kwa wanainchi wake,Juzi nilikuwa kwenye kati ya kata yake moja na nilichoambulia hakuna zaidi ya lawama tupu ya wanakata wakilaani kumpa kura,na wameampa ya kwmb kamwe hawatarudia matapishi kamwe,Ni kata ya Musa magharibi kabisa mwa Wilaya yake! ccm wakati wake unahesabika!

Natamani 2015 iwe ndiyo tar ya kesho!

M4c haitawaponye mafisadi kamwe! Hii opereshen tutaipatia jina lingine muda si muda!

Siyo Sendeka tu hata huyuOle medee lazima wang'oke...

Viva Chama cha Demokrasia na Maendeleo
 
J/pili Orkesumet kutakua na mgomo wa waumini kugomea kanisalao la kkkt , ambapo inasemekana viongozi wa kanisa wamepewa 2mil kuruhusu kanisa kufanywa ukumbi wa uchaguzi wa CCM. CCM kwa hili wameharibu sana. Hata waumini wanasema ccm sasa basi.
MY TAKE:
CDM chama changu naombeni tutumie hii kama gaucho ampigavyo doba mchezaji alieachama miguu!
 
Back
Top Bottom