M4C Urambo.

MotoYaMbongo

JF-Expert Member
Jan 7, 2008
2,146
884
Jembe la Kisiasa Urambo lililokuwa CUF ndg. Paskal Urembo limeamua kuvaa gwanda kwenye mkutano wa CDM uliofanywa na Uongozi wa CDM Mkoa wa Tabora ukiongozwa na Msafiri Mtemelwa na Mwenyekiti wa CDM Mkoa. Jembe limevaa mavazi meupe kabla ya kupewa gwanda. Karibu Chama makini jembe la ukweli. Hongera kwa kuachana na CCM B.
 

Attachments

  • Jembe lasiasa za urb..jpg
    Jembe lasiasa za urb..jpg
    19.3 KB · Views: 93

Similar Discussions

Back
Top Bottom