M4C Sumbawanga (Picha)

Umati huu ulihudhuria mkutano wa M4C mjini sumbawanga leo tarehe 27 july 2012. Pinda na wenzie wana haki ya kulalamika kwa CDM kwenda kwenye 'majimbo yao'.
attachment.php

attachment.php


attachment.php


attachment.php

Big up sana kamanda Heche. Hii ndio kazi tunayoitarajia kutoka kwa makamanda wote wa Chadema kwa sasa, kujenga na kuimarisha chama. Muda muafaka utakapowadia wa uchaguzi, kila mmoja atapimwa kwa mavuno aliyoleta ghalani, si kwa mitafaruku aliyoleta chamani.
 
Jambo la kwanza cdm ikikata nchi, ipunguze matumizi ya serikali kuu ( cost reduction ) futa wakuu wote wa wilaya, kurugenzi mbalimbali zizizokuwa na tija katika taifa hili, majimbo yaanzishwe haraka sana, futa viti maalum, na kama ni muhimu ziwe 10 tu, tena kwa makundi maalum na idadi hii iwekwe ktk katiba ya nchi, Idadi ya wizara zisizidi 20, iwe stated ktk katiba ya nchi.
 
Walai toba kuba babake!, wanakaz zzm



hahhaaaaa...ni kweli mkuu wanakazi kubwa na kila siku mambo yanazidi kuwaendea kombo, anzia madai ya msingi ya walimu, madokta, huduma za jamii chini... balabala hovyo.. rushwaa juuu... wamebakia kukimbilia mahakamani.. MUNGU NI MWEMA SANA, NA MUDA NI MAHAKAMA NZURI SANA. HATA WALE WALIOKUWA WANAJIFANYA BUNGENI KUPIGA KELELE KAMA WAKINA SIX KUMBE NI NJAA TUPU.... LEO WOTE KIMYA WANATUMBUA MIMACHO NA KUTAFUNA MIKODI YETU... MUNGU ATAWAUMBUA MMOJA MOJA... JK HAAMINI HAYO MASHAMBULIZI TOKA KILA KONA HUKU CDM KULE WANANCHI.....BORA SHEKHE YAHYA ANGEKUWEPO AMSAIDIE!!!!
 
wapi rais nape nauye na wazee wake wa ccm waone umati usiobebwa na pesa

ulivyo? Hii

ndio demokrasia ya kweli.



NAPITA NIKIJIIMBIA TU KIWIMBO CHANGU, IMBAAAAA EEEEHHH CCM FUNGUA NJIA OOOHHH CDM YAANZA TAMBAAA , NA JK FUNGUA NJIA OOOOHHHH SLAA AAANA TAMBAAA............
QUOTE " UKIONA BABA ANA MNUNULIA MTOTO NGUO ISIYOMTOSHA HALAFU ANAMWAMBIA VAA TU KUNA SIKU UTAKONDA UJUE HUNA BABA"
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom