M4c ni noma!

WANANCHI WATAAMKA KAMA WATASOMA, WATAJISOMEA, NA KUTAFUTA TAARIFA WENYEWE BILA KUTEGEMEA MAGAZETI YA KISHABIKI.

MIMI NIMEJIFUNZA KITU KIMOJA KUHUSU WATANZANIA. WENGI WETU NI WAVIVU WA KUSOMA NA KUJISOMEA.

Tunapenda majibu rahisi na mepesi kutoka majikwa ya kisiasa.

Sisi WATANZANIA ni wepesi kulaumu wengine na sisi wenyewe hatutaki kutambua mapungufu yetu. Sisi ni wepesi kuwaamini tunaowashabikia na kuwapenda. TUTAJUTA HAPO BAADAYE KWA UVIVU WETU WA KUSOMA, UVIVU WETU WA KUTOJISOMEA, UVIVU WETU WA KUTOJITAFUTIA TAARIFA.

Nina maswali kadhaa kwa wanaojiita GREAT THINKERS WA JAMII FORUMS:

  1. Nani amesoma sheria ya uchaguzi ambayo imeandikwa kwa lugha ya Kiswahili kabla ya kulaumu?
  2. Je wananchi wangapi walisoma HUKUMU kabla ya kulaumu?
  3. Nani amesoma vifungu has cha 108 cha sheria hii kuhusu wajibu wa anayefungua kesi za uchaguzi?
  4. Magezeti gani yaliandika mwenendo wa kesi neon kwa neon badala ya vichwa vya HABARI VYA KISHABIKI?
  5. Je wananchi wangapi walisoma ushahidi wa pande zote mbili zilizotolewa mahakamani?

Bila kuacha uvivu wa kufikiri na UVIVU WA KUSOMA NAKALA HALISI ZA HUKUMU demokrasia haitajengeka hapa Tanzania. Bila kuacha uvivu wa kujisomea na kusoma TUTAJADILI KATIBA KISHABIKI.

Fuatilia na Hukumu ya Arusha na ya jana. Umezionaje ndio maana wananchi wanalalamika hakuna haki. Hukumu ya mahanga Hakimu anasema mshtaki hakukidhi kwa kuwaleta mashahidi wenye vielelezo vya kutosha na hasa hakuleta picha na mikanda ya kuona ya video. Wakati Arusha inakubalika sheria io io ya kutokuwa na picha wala mikanda ya video ya kuona sasa hapo tuamini mahakama ipi. Isingekuwa rahisi katika serikali ya Kikwete na ccmafisi kumnyanganya cjui naibu waziri/waziri ubunge. Kwani wanaona ingekuwa kashfa na anguko lao. Hivyo piga galagaza ua ni lazima Mahanga ashinde io ndio sera ya ccmafisi. Kulindana na mahakama, mahakimu wetu wanavunja taaluma yao kwa tamaa ya vyeo pasipokujali kuwa yeye ni msomi haogopi lolote hata akitimuliwa kazi. Narudia tena yana mwisho nafikiri tunayaona yanayotokea Malawi ivi sasa ni nani alijua kuwa Mutharika atakufa na rais kuwa mwanamama Banda kutoka upinzani. Hawa wanaopindisha sheria iko siku lazima tutawahukumu, lazima tutawatafuta na kuwafunga wale wote wanaopendelea serikali na chama chao cha ccmafisi kwani kuna wananchi walioteseka/wanaoteseka kutokana na hukumu zao. Yana mwisho na mwisho wake sio mbali Mungu ibariki Tanganyika.
 
WANANCHI WATAAMKA KAMA WATASOMA, WATAJISOMEA, NA KUTAFUTA TAARIFA WENYEWE BILA KUTEGEMEA MAGAZETI YA KISHABIKI.

MIMI NIMEJIFUNZA KITU KIMOJA KUHUSU WATANZANIA. WENGI WETU NI WAVIVU WA KUSOMA NA KUJISOMEA.

Tunapenda majibu rahisi na mepesi kutoka majikwa ya kisiasa.

Sisi WATANZANIA ni wepesi kulaumu wengine na sisi wenyewe hatutaki kutambua mapungufu yetu. Sisi ni wepesi kuwaamini tunaowashabikia na kuwapenda. TUTAJUTA HAPO BAADAYE KWA UVIVU WETU WA KUSOMA, UVIVU WETU WA KUTOJISOMEA, UVIVU WETU WA KUTOJITAFUTIA TAARIFA.

Nina maswali kadhaa kwa wanaojiita GREAT THINKERS WA JAMII FORUMS:

  1. Nani amesoma sheria ya uchaguzi ambayo imeandikwa kwa lugha ya Kiswahili kabla ya kulaumu?
  2. Je wananchi wangapi walisoma HUKUMU kabla ya kulaumu?
  3. Nani amesoma vifungu has cha 108 cha sheria hii kuhusu wajibu wa anayefungua kesi za uchaguzi?
  4. Magezeti gani yaliandika mwenendo wa kesi neon kwa neon badala ya vichwa vya HABARI VYA KISHABIKI?
  5. Je wananchi wangapi walisoma ushahidi wa pande zote mbili zilizotolewa mahakamani?

Bila kuacha uvivu wa kufikiri na UVIVU WA KUSOMA NAKALA HALISI ZA HUKUMU demokrasia haitajengeka hapa Tanzania. Bila kuacha uvivu wa kujisomea na kusoma TUTAJADILI KATIBA KISHABIKI.

Acha mbwembwe kijana duniani hakuna haki.
 
Baadhi ya Majaji wanatuangusha sana kwenye kutoa hukumu.
Jaji anatakiwa awe na ngozi nene wakati wa kutoa uamuzi.
 
Sijutii kamwe kumpa kura yangu, ingawa najutia uamuzi wa kutolinda kura yangu ambayo nadhani mwizi Mahanga na genge lake waliiba.
Kwa kitendo walichofanya wapiga kura kumzomea Mahanga, naamini Mpendazoe umma uko nyuma yake.
 
Kwa hiyo kuzomea na kuita mwizi, ndiyo yamaanisha ushindi kwa kiti cha ubunge wa segerea?.
.
"Ama kweli CHADEMA NI SAWA NA NG'OMBE ASIYE NA BEI SOKONI".
.
"WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI".
 
Fuatilia na Hukumu ya Arusha na ya jana. Umezionaje ndio maana wananchi wanalalamika hakuna haki. Hukumu ya mahanga Hakimu anasema mshtaki hakukidhi kwa kuwaleta mashahidi wenye vielelezo vya kutosha na hasa hakuleta picha na mikanda ya kuona ya video. Wakati Arusha inakubalika sheria io io ya kutokuwa na picha wala mikanda ya video ya kuona sasa hapo tuamini mahakama ipi. Isingekuwa rahisi katika serikali ya Kikwete na ccmafisi kumnyanganya cjui naibu waziri/waziri ubunge. Kwani wanaona ingekuwa kashfa na anguko lao. Hivyo piga galagaza ua ni lazima Mahanga ashinde io ndio sera ya ccmafisi. Kulindana na mahakama,

mahakimu wetu wanavunja taaluma yao kwa tamaa ya vyeo pasipokujali kuwa yeye ni msomi haogopi lolote hata akitimuliwa kazi. Narudia tena yana mwisho nafikiri tunayaona yanayotokea Malawi ivi sasa ni nani alijua kuwa Mutharika atakufa na rais kuwa mwanamama Banda kutoka upinzani. Hawa wanaopindisha sheria iko siku lazima tutawahukumu, lazima tutawatafuta na kuwafunga wale wote wanaopendelea serikali na chama chao cha ccmafisi
kwani kuna wananchi walioteseka/wanaoteseka kutokana na hukumu zao. Yana mwisho na mwisho wake sio mbali Mungu ibariki Tanganyika.
.
Alieshitakiwa Arusha ni Mwanakondoo wakati alieshitakiwa Segerea alikuwa Mbwamwitu, watahukumiwaje sawasawa?
 
Nimeshuhudia kupita itv news ya saa 2 wananchi wakimzomea makongoro mahanga na kuimba mafisadi ,nikajiuliza hakuna tena wafuasi wa ccm hata wa kukodi kwani hata tanga jk alipokelewa. na cuf

Niliona hii, vijana wakiwa na bendera za ccm na chadema, vidole viwili juu wakiimba kwa msaada. Baadae nikasikia wakimwita mwizi wakati wa kuondoka. Du, hii noma kweli. Chakushangaza hakukuwa na wafuasi wa ccm japo kumpa faraja mzee wao baada ya kujipati a ushindi kwa msaada
 
Kashinda mahakamani si kwa wapiga kura. Akizomewa kuna ubaya gani?
Kwhiyo wagombe wawe wanaenda kupiga kampeni mahakamani kuliko kupoteza mda na pesa nyingi kuwazungukia wananchi wawapigie kura siyo!.
-Unahitaji kujua mbunge ni mwakilishi wa nani.
 
Back
Top Bottom