Ukana Shilungo
JF-Expert Member
- Apr 17, 2012
- 3,041
- 2,422
Jana katika viwanja vya Madeko Ndanda, Lema alimwaga sumu ya M4C,magamba si chini ya 25 walirudisha kadi miongoni mwao akiwamo kigogo mmoja wa hospitali ya misheni ya Ndanda na kuchukua kadi ya CHADEMA.
Pia alimchana mbunge wa Masasi akidai wabunge ni wa CHADEMA, mbunge 1 wa CHADEMA ni sawa na wabunge magamba 50.
Alizungumzia pia utajiri tulionao ila nchi yetu ni masikini,hii ni sababu ya chama magamba.
Kifupi mambo yalikuwa shwari,kesho nitapaisha picha baadhi za kamanda lema wakati akiwa Ndanda viwanja vya Madeko muda mfupi kabla ya kurudi Masasi mjini kuwaga sumu nyingine Wilayani.
Kusini hakika watu wanaamka baada ya kuhamasika.
Pipoooooooooooo!