M4C Leo Arumeru Mashariki Na Maeneo Jirani.

Ninyi mnawakosesha watu usingizi, maana wanapoelekeza nguvu Iringa, wengine wanatifua vumbi Arusha. Mwaka huu hakuna kulala.

Arusha huko watu washapinda bwana!(wameshaelewa)kiasi hata watoto wadogo wanakupa hi ya V!! rudini iringa tena hasa hasa lile jimbo la Lukuvi M4C ikae mwezi mmoja! ihakikishe inapiga elimu ya uraia nyumba kwa nyuma mpaka kieleweke! siye wengine tutaendelea ku m-pesa tu ili posho sisipungue.

 
Siyo kitu cha kuuliza mkuu...

Crashwise fanya covarage ya kutosha.nilikuwa pande hizo nimeona vijana walivyohamasika bendera zinakata upepo mbaya!Ila nyepesi nilizozipata madiwani wa magamba pande zile wanawanyanyasa sana raia kila wakidai haki yao wanaambiwa waende kwa mbunge!kuna mradi wa maji ambalo ulikuwa unaleta maji maeneo ya maji ya chai,tindigani na mji mpya umeujumiwa kisha eti hakuna luku ya kuendesha mtambo hii inaingia akilini?Tulianza na Mungu na Tutamaliza naye. Pamoko Arifuuuuuu mpaka wakae safari hii.
 
hepu nieleweshe vizuri sehemu ya mkutano ingawa Nassari mpaka sasa tuko nae hapa Haradali kwenye graduation.


Mji Mwema njoo nae, sasa hiivi keshafika Leganga chini ya mti. Makamanda wengine wanaendelea kuhutubia
 
Sasa navyoongea Mheshimiwa Mbunge yupo Usa-River kwenye msafara kuelekea mji mwema.
 
Katibu wa Baraza la wazee CDM usa-river anasema "Kwanini watuue kila kukicha? Walimchinja kijana wetu "Mbwambo" tukawaangalia tu, lakini hawatachinja mwingine tena, Msiwe waoga Kama Maeda (alieminywa nyeti na polisi akasaliti chama)"

Umati mzima watu wametulia kumpa heshima marehem Kamanda Mbwambo.

Apumzike Kwa Amani.
 
Mbunge keshafika uanjani kama nusu saa zilizoisha. Simu yangu inaniwia vigumu kuupload picha toka mchana.
Naahidi mtazipata pamoja na videos
 
Ally Bananga na James Millya wako uwanjani hapa Mij mwema.


Peoplesssssss Power
 
Wakuu leo mmetudodosha sana kwa makaverage ya ukweli, vp leo arumeru camera hazipo huko.... Daahaaa mmenisikitisha sana makamanda
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom