M4C: Lema kuunguruma leo..

mkutano ndio umeanza, watu bado sio wengi sana. Hali ya hewa sio nzuri sana, kuna manyunyu ya hapa na pale. Mgeni rasmi lema bado hajafika. Tutaendelea kujuzana.

Tupo hapa viwanja vya TIPI Sinza ambako kuna kamkutano ka chadema,, ni aibu tupu kuna watu wasiozidi 40. Lema hana hamu. Inatia huluma sana kwa kweri.

Hizi threads mbili zote ziko hewani kwa muda huu. Hivi Lema ana mikutano mingapi leo?
 
Mkuu mbona ume-dominant hii thread utadhani wewe ndio initiator of this thread. Nadhani uache kudandia hoja. Mimi nipo Sinza na mkutano umeanza na watu wapo wa kutosha kabisa. Tatizo ni udhaifu na kuvurugwa.

Kama wewe upo Sinza mie nifanyaje sasa? Wewe humo humu JF kapangia watu thread za kuchangia? Kweli kauzu ni zaidi ya dagaa...kama kuna wengi weka picha.
 
Hizi threads mbili zote ziko hewani kwa muda huu. Hivi Lema ana mikutano mingapi leo?

thread mbilli kuwepo kwa wakati mmoja haimaanishi yupo sehemu mbili kwa wakati mmoja, come on be smart bana. Hiyo ya sinza imeanza saa nyingi saiv ni watu wanaendelea kuchangia tu. Ila kwa sasa yupo kimanga. Kama huamini shauri yako.
 
Tupo hapa viwanja vya TIPI Sinza ambako kuna kamkutano ka chadema,, ni aibu tupu kuna watu wasiozidi 40. Lema hana hamu. Inatia huluma sana kwa kweri.

Weka na picha ya kuchakachua nape anaweza akakuongezea dau!
 
Hizi threads mbili zote ziko hewani kwa muda huu. Hivi Lema ana mikutano mingapi leo?

thread mbilli kuwepo kwa wakati mmoja haimaanishi yupo sehemu mbili kwa wakati mmoja, come on be smart bana. Hiyo ya sinza imeanza saa nyingi saiv ni watu wanaendelea kuchangia tu. Ila kwa sasa yupo kimanga. Kama huamini shauri yako.
Hivi kuwa na mikutano miwili kwa siku moja inamaanisha kuwa sehemu mbili wakati mmoja?

Ni swali ambalo jibu lake lingeweza kuwa namba yoyote.
 
Anaogopa kurudia kazi yake ya ujambazi tayari anajulikana, ila mwache yeye na Heche wawashughulikie watoto wa vyuo vikuu wanaendekeza njaa sana hao.

wewe ndio una njaa manake unahongwa na magamba then unasahau kuwa ccm ni mkoloni mweusi.
 
Back
Top Bottom