M4C: Lema kuunguruma leo..

M4C leo ni zamu ya sinza, wanafunzi vyuo vikuu waanza kukutana sinza white inn, ni kwenye mkutano utakao hutubiwa na kamanda Lema leo, wanafunzi zaidi ya 4000 kukutana...

Hivi huo ukumbi wa Sinza/Tandale unaingiza watu 4000? heche atakuwepo?
 
Wewe acha uupuzi unaoandika hapa umeishia darasa la ngapi? Kama huna sera ya nini kupoteza muda kuandika upuuzi
Anaogopa kurudia kazi yake ya ujambazi tayari anajulikana, ila mwache yeye na Heche wawashughulikie watoto wa vyuo vikuu wanaendekeza njaa sana hao.
 
Hivi huo ukumbi wa Sinza/Tandale unaingiza watu 4000? heche atakuwepo?

Wewe njoo ujivue gamba maana ulisema lema hawezi kuja dar sasa yuko dar na kwasasa kuna maandamano makubwa sana yanaelekea kwenye uwanja wa mkutano...
 
Wewe njoo ujivue gamba maana ulisema lema hawezi kuja dar sasa yuko dar na kwasasa kuna maandamano makubwa sana yanaelekea kwenye uwanja wa mkutano...

Sijakuambia Lema hawezi kuja Dar mie sina uwezo wa kumzua mtu kuja Dar nilichokuwambia Dar wameshindwa kina Mbowe, Slaa, sembuse Lema.
 
Naamini itakuwa ni pale kwenye kiwanja cha Mpira Darajani, Mpakani mwa Tandale na Sinza. Tuombe Mungu hiki kimvua kinachobeep kisinyeshe watu wapewe dozi hapo uwanjani. M4C CDM 2015 here we are coming to catch you.
 
Maandamano mkubwa kutoka Sinza makaburini mpaka Sinza White Inn, watu ni wengi sana.

Wewe kwako hata mashabiki wa Chadema wakiwa kumi wanatembea unasema maandamano makubwa...weka basi picha wa hayo maandamano makubwa!
 
lema bwana baada ya kukosa posho za ubunge sasa anaganga njaa kwenye kampeni ili aingize siku
Harakati za mageuzi hazifanyiki chumbani,
"Msiwachukie wanaowabeza, hawajui walitendalo" By Godbless Lema.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Wewe kwako hata mashabiki wa Chadema wakiwa kumi wanatembea unasema maandamano makubwa...weka basi picha wa hayo maandamano makubwa!

Kama umeshawaona wako kumi unalilia picha ya nini?
Tayari una picha yako kichwani mwako kuwa ni watu kumi, endelea kuitazama na kuiamini picha iyo.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Wewe kwako hata mashabiki wa Chadema wakiwa kumi wanatembea unasema maandamano makubwa...weka basi picha wa hayo maandamano makubwa!

Zamani nilijua unaishi Dar kumbe unaishi Lindi na leo na thibitisha pia kuwa wewe uko Lindi siyo Dar.............
 
Back
Top Bottom