Sijawahi kukutana na mpuuzi wa aina yako maishani mwangu.Kwenu kuna kasoro gani? nyie ndio mnaosema bora mngezaliwa paka au mbwa Ulaya.Peleka changamoto iliyoifanya Moshi ifike pale kwenu si kudandia nakutamani vya wengine.Bureeeee kabisa wewe!
Ukweli ni kuwa watu wa Moshi ni majasiri na wasiogopa watawala wa magamba.
Pamoja na hujuma za watawala dhidi ya Mji wa Moshi ,kwa kipindi kirefu, hasa katika utawala wa Mkapa, akilipiza hasira za kukosa kura Moshi aliamua kuutenga mji huo kimandeleo.
Watu wa Moshi wamelipa gharama ya kuwakataa magamba bila kutetereka na wameonyesha mfano kwa wale wote wanaotamani kuona na kuleta mabadiliko ya kiutawala hapa chini.
huku ni kupoteza resource za chama M4C Zielekezwe,Tabora, Lindi, Mtwara, Ruvuma, pemba ,Unguja Moshi walishaamka ndio maana jimbo la moshi mjini tangu kuasisiwa kwa vyama vingi ni la upinzani!Pelekeni nguvu kwingine, aliye mzima hahitaji tabibu!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.