M4C,Katibu wa CUF Wilaya Mh. Dominick Ng'honela Bubeshi AVAA GWANDA LA CDM!

LiverpoolFC

JF-Expert Member
Apr 12, 2011
11,348
3,219
Katika harakati inayojulikana hv M4C ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo inayoongozwa na Kamanda G. Lema imendelea kuwarudishia matumaini wanainchi waliopoteza matumaini na chama tawala.

Harakati hiyo ya ukombozi inayoendelea ktk Wilaya ya Magu Mh. G Lema imeendelea kuwakusanya maelfu ya Wanainchi wengi sana na ndipo Katibu wa Wilaya kwa chama cha Wanainchi CUF Mh. Dominick Ng'honela Bubeshi kuvua gamba na kuvaa gwanda la chama cha CDM.

Chama cha Demokrasia na Maendeleo hakika wamepata jembe lingine kali sana,Magu CHADEMA inasonga mbele hakuna wa kuzuia mabadiliko hakika kuzaliwa mtoto huwezi kuzuia na hiyo ni kauli ya Manyanza Stanslaus,Mwasisi wa CHADEMA!

Viva CDM!

Source: Mi mwenyewe!
 
Hakika ukombozi umekaribia
 
Mapambano kwa kasi ya ajabu. Yaani speed 500 kwa saa.

Yani kwa mahudhurio ya wanainchi ktk mikutano ya hadhara hakika jamani UKOMBOZI upo wazi kwa 100%

ccm itabakia ilikuwepo!
Kudadekiiiiiiiiiiii!!
 
makamanda njooni busega jimbo liko wazi na mtavuna wanachama wengi sana huku watu wameisha kata tamaa na chama cha magamba ushihidi ni uchaguzi ndani ya chama chao wananchi wamegoma kuchukua fomu ili wagombee uongozi ndani ya chama cha magamba hasa kata ya lamad hivyo tunaomba makanda fikineni busega msaidie wananchi wananchi wanao angamia kwa uroho wa mafisadi:lol:
 
Kichuli!

Hawa mafisadi mwisho wao umefika hakika!

Hapo Busega tutavamia mpk mafisadi wafiche nyuzo zao wenyewe!

Piga kimya Kamanda utaona hao mafisadi watakavyopukutishwa hapo Busega!

M4C,haitawabakiza hata mmoja!
 
Back
Top Bottom