M4C Itatingisha Arusha Leo Mchana

CHASHA FARMING

JF-Expert Member
Jun 4, 2011
7,789
8,914
Wakuu Leo Mchana Kutakua Na Mkutano wa M4C huku A town na AAgenda kubwa ni Kjadili Maswala yaliyo jitokeza ikiwemo kufungwa kwa Uwanja wa NMC, makamanda wote watakuwepo Kuanzia Mwenyekiti Taifa, Katibu, na na Wapiganaji wengine,

Mkutano utafanyikia Winja vya Kilombero jirani na Soko La Kirombelo na hapo ndo pana weza kuwa Revorution Square Mpya

Mnakaribiswa sana
 
thanks kamanda, update update update ni muhimu sana kaka, mchina iwe ok kwa picha... M4C forever!
 
Tunashukuru kwa taarifa,tunatarajia kupata updates kwa picha na maelezo ya kitakachojiri wakati huo
 
huku ni kuchachawa mmesikia CUF wameanza mikutano yao Arusha, mnakwenda kuleta fujo, RPC wa Arusha kuwa macho na hiki chama cha CDM nia yao ni kuwafanyia cuf vurugu, na ole wao wawafanyie vurugu itakuwa ndio mwisho kufanya mkutano DAR.
 
ni tatizo kubwa sana kuongea huku umekalia vitu vyenye ncha kali, kama miiba etc! pole yako lakini, ila mkutano upo pale pale!
 
Msemaji ukweli:

Mimi nilifikili nyumba ikiwa safi hakuna haja tena ya kuisafisha kila kukicha au ndiyo stahili na fasheni yenyewe.
 
huku ni kuchachawa mmesikia CUF wameanza mikutano yao Arusha, mnakwenda kuleta fujo, RPC wa Arusha kuwa macho na hiki chama cha CDM nia yao ni kuwafanyia cuf vurugu, na ole wao wawafanyie vurugu itakuwa ndio mwisho kufanya mkutano DAR.

Mkuu CHADEMA wao wana enda kuzungumzia ishu nyingine kabisa na wala si Maswara ya CUF, na unaweza usisikie CUF ikitajwa, kuna mambo haya jakaa freshi, huko na ukitilia Manani kwamba ARUSHA NDO BENGHAS YA TZ
 
Wakuu Leo Mchana Kutakua Na Mkutano wa M4C huku A town na AAgenda kubwa ni Kjadili Maswala yaliyo jitokeza ikiwemo kufungwa kwa Uwanja wa NMC, makamanda wote watakuwepo Kuanzia Mwenyekiti Taifa, Katibu, na na Wapiganaji wengine,

Mkutano utafanyikia Winja vya Kilombero jirani na Soko La Kirombelo na hapo ndo pana weza kuwa Revorution Square Mpya

Mnakaribiswa sana

hawakawii kujenga nyumba za NHC hapo wakidai mpango ulikuwepo.......
 
Jana nilikua nakunywa pale Police Offices Mess nikaona kulikua na maaskari karibia wote wa mkoa wa Arusha wakiwa wanapewa semina elekezi kuwakabili Peoples!!
 
Halafu kama vile simuelewi? Kuna mikutano miwili infanyika baadaye wiki hii hapa JHB, mmoja ni wa ANC ya Zuma, na mwingine ni wa Democratic Alliance ya yule Meya wa zamani kule Cape Town, mama wa kizungu,Hellen Zille. Mikutano hii inafanyika katikaeneo moja la wazi, ila kwa umbali usiozidi mita 2000.Lengo ni kupima nguvu ya kisiasa kwa vyama vyote viwili..

Sasa kama ni huko Arusha say CDM wako Stadium na CUF kule Mbauda hapo kuna kosa gani?.....FUNGUKA CACICO!!
 
huku ni kuchachawa mmesikia CUF wameanza mikutano yao Arusha, mnakwenda kuleta fujo, RPC wa Arusha kuwa macho na hiki chama cha CDM nia yao ni kuwafanyia cuf vurugu, na ole wao wawafanyie vurugu itakuwa ndio mwisho kufanya mkutano DAR.

una akili maiti.HUU WAKO NDO UPINZANI? Cuf afterall hawana wafurukutwa.
 
huku ni kuchachawa
mmesikia CUF wameanza mikutano yao Arusha, mnakwenda kuleta fujo, RPC wa
Arusha kuwa macho na hiki chama cha CDM nia yao ni kuwafanyia cuf
vurugu, na ole wao wawafanyie vurugu itakuwa ndio mwisho kufanya mkutano
DAR.

we ni kama nani unatoa mkwara wa mbuzi kwa chadema,hacha CUF wafanye siasa zao na M4C indeleze wimbi la ukweli, elewa kwamba cuf hawana chao arusha they are going to dance the music wa M4C
 
huku ni kuchachawa mmesikia CUF wameanza mikutano yao Arusha, mnakwenda kuleta fujo, RPC wa Arusha kuwa macho na hiki chama cha CDM nia yao ni kuwafanyia cuf vurugu, na ole wao wawafanyie vurugu itakuwa ndio mwisho kufanya mkutano DAR.

CUF si waliaihirisha mkutano??
 
huku ni kuchachawa mmesikia CUF wameanza mikutano yao Arusha, mnakwenda kuleta fujo, RPC wa Arusha kuwa macho na hiki chama cha CDM nia yao ni kuwafanyia cuf vurugu, na ole wao wawafanyie vurugu itakuwa ndio mwisho kufanya mkutano DAR.

CUF ni kiraka laini sana. Wala CDM hawakosi usingizi kwa ajili ya hii kitu.

huku ni kuchachawa mmesikia CUF wameanza mikutano yao Arusha, mnakwenda kuleta fujo, RPC wa Arusha kuwa macho na hiki chama cha CDM nia yao ni kuwafanyia cuf vurugu, na ole wao wawafanyie vurugu itakuwa ndio mwisho kufanya mkutano DAR.

Haya ni madhara ya kuandika comments uku umepakatwa na MAALIM SEIF.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom