M4C imeshindwa kuiteka TANGA?

jingalao

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
35,053
28,245
Kwa muda wa mwezi mmoja nimekuwepo jijini Tanga ,pamoja na mambo mengine nilitumia muda wangu kuwahoji wakazi wa Tanga juu ya muelekeo wa kisiasa.kimsingi inaonekana CHADEMA haijakubalika ndani ya mkoa wa Tanga na mbadala mkubwa wa CCM kwa Tanga ni CUF.
Sasa najiuliza je M4C imeshindwa kushawishi wakazi wa Tanga?

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
 
Sijui ulihoji watu wangapi kati ya zaidi ya watu milioni mbili wa mkoa wa Tanga. Hata hivyo, in short sio dhambi au kosa kwa wakazi wa Tanga au sehemu nyingine ya nchi kuwa wafuasi wa CUF au chama kingine chochote kile alimuradi kipo kwa mujibu wa sheria za nchi.

Wala haijawahi kutokea popote duniani watu wote wakawa wafuasi wa chama kimoja pekee unless wana matatizo ya kiakili kama ilivyokuwa enzi za chama kushika hatamu na sidhani kwamba Tanga wako hivyo.
 
sample niliyotumia inalingana na ile ya arusha au mwanza.kiukweli chadema haijakubalika jijini Tanga kama ilivyo zanzibar.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
 
sample niliyotumia inalingana na ile ya arusha au mwanza.kiukweli chadema haijakubalika jijini Tanga kama ilivyo zanzibar.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA

Sijakuelewa mkuu!!. Hata Mwanza na Arusha ulifanya utafiti??!!
 
kwa muda wa mwezi mmoja nimekuwepo jijini Tanga ,pamoja na mambo mengine nilitumia muda wangu kuwahoji wakazi wa Tanga juu ya muelekeo wa kisiasa.kimsingi inaonekana chadema haijakubalika ndani ya mkoa wa Tanga na mbadala mkubwa wa ccm kwa Tanga ni CUF.
Sasa najiuliza je M4C imeshindwa kushawishi wakazi wa Tanga?

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA

CHADEMA YAUSHINDA UDINI WA CuF na CCM
 
Hata nyerere tanga ilimsumbua kidogo ila kwa kuwa kushika dola ni 51%tanga na mikoa kama miwili mitatu itaangukia katika hizo 49 zilizobaki na sio dhambi.
Obama aliwaambia wamerekani pamoja na kuwa hamjanichagua lakini nitakuwa rais wa wamarekani wote.
Viva chadema.
 
Sikubahatika kupata taarifa ya utafiti wako, vipi ulitumia sample ya ukubwa gani(figures)??!
hata kama nilitumia sample ya watu 20 lakini matokeo niliyopata kutoka arusha,mwanza,iringa,mbeya,zanzibar na tanga ni tofauti.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
 
kwa muda wa mwezi mmoja nimekuwepo jijini Tanga ,pamoja na mambo mengine nilitumia muda wangu kuwahoji wakazi wa Tanga juu ya muelekeo wa kisiasa.kimsingi inaonekana chadema haijakubalika ndani ya mkoa wa Tanga na mbadala mkubwa wa ccm kwa Tanga ni CUF.
Sasa najiuliza je M4C imeshindwa kushawishi wakazi wa Tanga?

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
...acha kuweweseka,M4C Tanga tunakuja...
 
hata kama nilitumia sample ya watu 20 lakini matokeo niliyopata kutoka arusha,mwanza,iringa,mbeya,zanzibar na tanga ni tofauti.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA

Ni lazima yawe tofauti kwa sababu umeyatoa kutoka sehemu tofauti!!.
 
kumbe jibu unalo!kwa arusha,mbeya,mwanza na iringa yalikuwa similar lakini kwa Tanga there is a significant differnce!

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
 
kwa muda wa mwezi mmoja nimekuwepo jijini Tanga ,pamoja na mambo mengine nilitumia muda wangu kuwahoji wakazi wa Tanga juu ya muelekeo wa kisiasa.kimsingi inaonekana chadema haijakubalika ndani ya mkoa wa Tanga na mbadala mkubwa wa ccm kwa Tanga ni CUF.
Sasa najiuliza je M4C imeshindwa kushawishi wakazi wa Tanga?

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA

kuna watu wanaamini chama fulani ni dini yao kitu ambacho napinga mpaka mwisho. tutafika tu hata kwa hawa weledi.
 
kigoda na nundu hawahitajiki kwenye majimbo yao lakini sijasikia chadema ni mbadala wao,huu ni ukweli ndani ya Tanga.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
 
Back
Top Bottom