M4C iko wapi? ndo maana wanasema "NI UPEPO TU"

Mkurabitambo

JF-Expert Member
Feb 3, 2010
230
57
Si wasikii kabisa na M4C,hatujaambiwa mafanikio ya ziara walizofanya,hawajasema kama ndo mwisho au..najua shughuli zilisimama wakati wa kifo cha mzee BOB MAKANI(R.I.P) Lakini mbona kimya mpaka leo?
 
.we ulitaka waanike mikakati yao mbele ya adui..
mafanikio ya ziara muulize Membe, na Hawa Ghasia
 
Si wasikii kabisa na M4C,hatujaambiwa mafanikio ya ziara walizofanya,hawajasema kama ndo mwisho au..najua shughuli zilisimama wakati wa kifo cha mzee BOB MAKANI(R.I.P) Lakini mbona kimya mpaka leo?

Unataka ya wekwe wapi au tuwe tuna ku-PM kinachoendelea.....
M4C inazidi kuchanjwa mbuga kama vipi mmmuulize Anna Kilango atakwambia kinachoendela jimboni kwake.....
 
Katibu na Mwenyekiti walitaka kuzichapa, kwi kwi kwi teh teh teh!
 
Mkuu ondoa hofu tutapata taarifa,ila moja wapo ya mafanikio ni kule bungeni kama ulisikia baadhi ya wabunge wakitokwa povu hovyo maana fagio la chuma lilipita majimboni kwao.
 
Katibu na Mwenyekiti walitaka kuzichapa, kwi kwi kwi teh teh teh!
Acha ushangingi mtoto kiume, umekalia nini ?hadi debe debe?we gamba M4C forever unstopable hadi magogoni wanalifahamu hilo .Safari hii kelele za mlango zinamzuia mwenye nyumba kulala na anajiandaa kuhama nyumba
GAMBA WEE
 
M4C wako kazini Mpaka kieleweke Hakuna kulala Mpaka CCM DHAIFU itakapokua Oposition party
 
kikwete ni mnafiki no 1

Tangu tupate maraisi hatujawahi kuwa na rais mnafiki, mzembe,dhaifu na ndumila kuwili kama kikwete uendeshaji serikali yake umejaa fitina dhihaka na upuuzi mwingi anyemshabikia huyu naomba aweke haya maelezo kwa kuprint au kucopy na baa ya 2015 mtaona kwa nini tz imefika hapa ilipo ni sababu ya huyu mr dhaifu hakuna alichowahi kuongoza kikafanikiwa zaidi ya kutengeneza makundi ndani ya chama na nchini ili awe madarakani kirahisi mungu ibariki tanzania kwa haraka sana tuondokane na huyu mnafiki

asikii kabisa na M4C,hatujaambiwa mafanikio ya ziara walizofanya,hawajasema kama ndo mwisho au..najua shughuli zilisimama wakati wa kifo cha mzee BOB MAKANI(R.I.P) Lakini mbona kimya mpaka leo?[/QUOTE]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom