M4C DAR es Salaam from HERO........to ZERO

Nifafanulie kwa huyo jamaa mwenye T shirt ya njano aliesimama,picha inakuumbua hiyo,huyai edit vizuri,huo mkono wa kushoto umepotelea wapi? au jamaa ana kipande cha mkono? kwa physics ya form one tu unatambua makosa hapo,KAJIPANGE uje tena Jeykey
Pombekali kweli utakuwa unatoka kuzimua Pyysics na hii picha wapi na wapi
si unaona ana mikono yote miwili?
Excellent anabisha eti vivuli si unaona hapo vivuli vinaonesha hii ilikuwa mida ya saa 11...12
maana jua lilikuwa linazama
 
Last edited by a moderator:
Picha imechukuliwa mapema kabla umati haujatinga. Magamba mnashida sn

Mapema wapi wakati makamanda wapo juu ya fuso ya milioni 350 wakihutubia wananchi, lete basi picha zako ambazo umati umejaa.
 
dahh!!!!!!!!!!! sijui kama hii nikweli bila shaka niupotoshaji wa umma........ hii picha bilashaka ilipigwa b4 mkutano haujaanza cz mbona jua linaonekana ni kali bilashaka ilikuwa wakati wa maandalizi ya mkutano........
 
Nimekuja kuamini kuwa chadema kwa Dar es salaam ni kama kuchora kwenye maji
Naona lema anaangaika Dar kukusanya watu alikini anatoka patupu sijui inakuwaje
chama hakikubaliki Dar es salaam


Hebu angalia hizo picha za Lema akiwa Tabata akihutubia watu



PICT0605.JPG






wachache wanao elewa wanatosha we nduzza cdm hawana mda wa kukodi magari ili kuwaleta watu kupendezesha uwanja funguka nduzza
:A S-baby:
 
Nimekuja kuamini kuwa chadema kwa Dar es salaam ni kama kuchora kwenye maji Naona lema anaangaika Dar kukusanya watu alikini anatoka patupu sijui inakuwaje chama hakikubaliki Dar es salaam Hebu angalia hizo picha za Lema akiwa Tabata akihutubia watu http://4.bp.blogspot.com/-9ce70Bdqyhc/TixP_L4JigI/AAAAAAAAA0k/dV6fGWsTvNI/s1600/PICT0600.JPG"]
PICT0600.JPG
[/URL]
PICT0605.JPG
http://1.bp.blogspot.com/-NOfgoDdmWV8/TixYcwNo2eI/AAAAAAAAA18/FVLhcKd1PsM/s1600/PICT0628.JPG"]
PICT0628.JPG
[/URL]
http://1.bp.blogspot.com/-Q7A5V54jhk4/TixTrpTWIII/AAAAAAAAA1c/AdPJ_DPLRjA/s1600/PICT0618.JPG"]
PICT0618.JPG
[/URL]
unachukua upande ambao hauna watu.piga sehemu yote ya uwanja tuone
 
propaganda za aina hii tumezizoea kutoka kwa ccm make wao wanapiga picha wakati watu ndo kwanza wanaanza kwenda mkutanoni au picha zinapigwa upande ambao hauna watu na hizo picha ndo wanaziita za mkutano halisi. hamuwezi kuwadanganya watu wote kwa muda wote
 
propaganda za aina hii tumezizoea kutoka kwa ccm make wao wanapiga picha wakati watu ndo kwanza wanaanza kwenda mkutanoni au picha zinapigwa upande ambao hauna watu na hizo picha ndo wanaziita za mkutano halisi. hamuwezi kuwadanganya watu wote kwa muda wote
Mkuu weka za kwako ulizopiga tabata zenye watu wengi.
 
lema anafuata posho aweze kujikimu na familia ana hali mbaya sana

Wee, unafikiri aliingia kwenye siasa kwa kuganga njaa? Huyo sio kama wewe. Uliza magari ya tours yaliyosaidia kampeni za Arumeru ni ya nani????
 
sasa hapo ndo ujiulize maana watu wamechoka kumsikiliza ndo mana hawaji

Acha kuongea matusi wewe hapo penye red colour! Nilikuwa nasoma kwa sauti huku kuna wadogo zangu....ndio nikakutana na tusio lako hili.
 
Bora watu kumi wa uhakika kuliko kununua watu, kukodi na magari waje kujaa kutia kiwingu, mi ni kiongozi ccm sehemu fulani, awa jamaa wana shida sanaa ccm na kununua watu lazima mtoke 2015, tuko ndani mwenu tunawachunguzaa
 
Back
Top Bottom