M23 waua Meja wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) - UN Yalaani!

kupigana ki Un-Un madhara yake ndo haya-masharti mengi-mara pigen lakin msiue-commanding chain wangetuachia Tz wao watoe vifaa na pesa tu-hivhiv vita itakuwa ngumu.
 
Hii ndiyo siri ya jeshi imara duniani ni lazima wanajeshi wake wawe tayari kwa vitendo kulinda amani ya nchi,na kushiriki katika misheni za amani duniani,najivunia jeshi langu jwtz kwa kazi nzuri wanayoifanya congo na kwa kujiweka tayari kwa vitendo na ujasiri wa kivita kwa ajiri ya kuilinda nchi na kutetea amani dunia,jwtz fanyeni kazi sisi watanzania tuko pamoja na nanyi!
 
Tatizo watu hampendi kuambiwa ukweli,hii vita haina maana yoyote kwa watanzania,wanakufa bure kwa sababu ya masilahi ya jk na zuma tu,tena sio huyo meja tu,kuna wengi sana wamekufa wanaficha,wamemtaja meja kwani ni mtu wa cheo kikubwa huwezi kuua meja wengine aliokua nao wakasalimika,yani makopolo na private niwengi wamekufa,halafu wewe unaleta vya uzalendo,mala unga sijui nini,ukweli mtaujua si muda murefu.

Ahaa, wewe nimekundua ni Mtutsi, hata unavyoandika! Sasa tuongee lugha moja na tupate ukweli, Je kwa nini mnaing'ang'ania Goma na hamtaki kurudi kwenu Rwanda? Jibu.
 
==>> mavi ya kuku wee....ww unaandikia wapi..?? unajua M23 wamekufa wangapi juzi...?? unajua au unaongea with scented mouth...shit... u hv been defending m23 hapa JF muda sana we track u closely...very very closely....utalia....wait...utalia...wape ma------ au nenda Rwanda....fanya hivyo tutakumaliza
....tutakupata tu...tutakushika tu....tutakuonyesha...
ahahaahahaha we inaonekana bangi zimezidi,wewe jibu hoja acha vitisho,unataka unin'goa meno na kucha?ahahahahaha nakubali M 23 wanakufa sikatai kabisa,lakini wao wanahaki ya kufa kwani wanapigania haki yao,sasa watanzania mnapigania nini? kwanini msipiganie haki zenu wenyewe,unataka kunieleza kwamba tanzania kwenyewe mna haki? anzeni kwenu ndio muone kwenda kuwasaidia wengine.
 
Ahaa, wewe nimekundua ni Mtutsi, hata unavyoandika! Sasa tuongee lugha moja na tupate ukweli, Je kwa nini mnaing'ang'ania Goma na hamtaki kurudi kwenu Rwanda? Jibu.

Kua mtusi si dhambi wala si kosa,hao unao waita wanyarwanda walikua huko hata kabla kongo haijawa congo,walitengwa na mipaka iliyowekwa na wazungu,sina mengi fanya research utaujua ukweli.
 
Ban and the UN should stop nagging over the effect while ignoring the cause! While the same UN is contemplating on military actions on Bashar al-Assad, the same UN ignores those perpetuating the Congo endless war! Ban Ki-Moon stop fooling Africa. Tell US and Britain to add Kagame and Museven to the Bashar al-Assad roll. We all know that the M23 are just mercenaries of the two bloodthirsty presidas in East Africa.

Well said mkuu. Hawa wazungu wanatuona sisi sijui vipi! Upuuzi wa namna hii ukitokea karibu na kwao wanaingilia kati kivita kuwang'oa marais wahusika. Tuliyaona Cosovo na kwingineko na sasa wako mbioni kumtandika al-Asaad. Congo mbona hawaionei huruma? Watengeneza vita wa Afrika mbona wanawavalia miwani ya mbao?
 
Hii ni kauli ya mwananchi wa Mtwara.
''Askari wetu na wapigwe tu, maana tumewachoka, na watapigwa tu''
 
Arushaone
leo umeongea kama mtanzania kauli muafaka !

Mkuu chama, tuache unazi katika hili....yaani tunatoa kafara askari wetu wakati tunajua kabisa kuwa Mbaya wa Congo ni Kagame mfadhili wa M23.
Kwanini !MONUSCO isijikite kuukata mzizi ambao ni Kagame wa mekimbilia Matawi ambayo ni M23.
Au CCM hamlijui hili????
 
Last edited by a moderator:
We cant do anything while there is misunderstanding btn jk and kagame, we can attack them bt they will kill us silently,we will lose our pple silently,
 
kwa mwanajeshi kufariki vitani siyo jambo la kushangaza sana! naomba Mungu amlaze mahala pema lkn isiwe sababu ya kusema jeshi letu liondoe wanajeshi congo. lazima m23 wamalizwe drc ili amani irejee na uharibifu wa kagame ushindwe. nguvu za kiuwaji za kagame lazima zidhoofishwe na kusambaratishwa. aluta continua!

Mkuu M23 ni matawi tuu.
Kuhangaika na M23 ni kupoteza wakati na Maisha ya watu.
Mzizi ni Kagame...hivi inachkua siku Ngapi kumshughulikia Kagame
 
Katika kitu ambacho Kikwete atajutia na hatokisahau kwenye uongozi wake ni uamzi wa kupeleka majeshi Congo.

Tulikuwa na njia nyingi mbadala kusaidia majeshi ya UN Congo kuliko kukubali kupeleka wanajeshi wetu, huwezi kujenga amani na majirani zako kwa kuua.
 
We cant do anything while there is misunderstanding btn jk and kagame, we can attack them bt they will kill us silently,we will lose our pple silently,

And this is what is happening in Congo.
Sie tunakimbizana na wakimbizi wao.
Wenyewe taratibu wanatuulia Askari wetu through M23
 
Mkuu nimesikitishwa na hoja yako; kuliko kufa huku umekaa na kutazama upuuzi wa akina Kagema afadhali kufa mpaka ukweli ujulikane. Mbona hamsemi wao wamekufa wangapi?

Suala la wao kufa wangapi halituhusu aisee.
Hata kama wamekufa wote..Damu ya Askari wetu ina thamani kubwa kuliko idadi ya M23 waliokufa
 
Suala la wao kufa wangapi halituhusu aisee.
Hata kama wamekufa wote..Damu ya Askari wetu ina thamani kubwa kuliko idadi ya M23 waliokufa

Sawa mkuu wanakufaga karibu wote halafu wachache wanaobaki wanapigana hadi kumshinda adui. Ndiyo vita, pole kama hujui vita wankufa mnakanyaga maiti mnasonga mbele. Wanyarwanda na M23 wanalijua hilo.
 
tunatakiwa tuongeze askari, mwanaume hakimbii wala kuogopa wala kusalimu amri, cha msingi hapa nchi zinazotuzunguka ziwe salama.

Huyu interahamwe anawadanganya mmpiganie vita yake huku yeye anakula na kulala kwa amani hapa kwenu. You guys, you don't know what you are getting into.
 
Katika kitu ambacho Kikwete atajutia na hatokisahau kwenye uongozi wake ni uamzi wa kupeleka majeshi Congo.

Tulikuwa na njia nyingi mbadala kusaidia majeshi ya UN Congo kuliko kukubali kupeleka wanajeshi wetu, huwezi kujenga amani na majirani zako kwa kuua.
mBONA NCHINI ANAJENGA KWA KUPIGA TU PIGA TU MAANA TUMECHOKA...LIWALO NA LIWE
 
Back
Top Bottom