M23 waua Meja wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) - UN Yalaani!

Mheshimiwa raisi, warudishe watoto wetu nyumbani. Wafe kwa ajili ya kulinda nchi yao lakini siyo kwenye vita na watu wa Kagame

==>> Jikedume wee....hata mkeo ukikuta anatiwa utanyamaza....uoga ni ugonjwa kama hujui...
 
Mheshimiwa raisi, warudishe watoto wetu nyumbani. Wafe kwa ajili ya kulinda nchi yao lakini siyo kwenye vita na watu wa Kagame

We malafyale mbona unakuwa mwoga ka kunguru!!
Kazi ya jeshi ni kuua proffessionaly na kukubali kupoteza maisha in the process.
Hayo yote ni a days business.
 
Mpaka sasa UN hawajasema ni mwanajeshi wa nchi gani ameuwawa na Dactari mmoja anasema ameona miili ya waasi zaidi ya 60 na miili 23 ya wanajeshi wa serikali la Kongo hizo habari za Meja kutoka Tanzania ameuawa ni za kutungwa tu hazina uhakika wowote mkumbuke kuna habari pia zilizushwa mwanajeshi wa Tanzania ametekwa nawaasi jambo ambalo lilikua ni Uzushi
 
Una uhakika kwamba kina Kagame ndio wanawapatia silaha hayo M23? Tatizo la sisi waTz ni wepesi sana wa kusahau. Je, unakumbuka ishu ya "Mapanki ya Darwin". je, unakumbuka vizuri kuwa kuna ndege za kijeshi zilizokuwa zimebeba Silaha, zilizokuwa zinatua kule mwanza-Tz, unakumbuka? je, umeshawai kujiuliza zile silaha zilikuwa zikiishia/kwenda wapi?
ndio ni kagame anawatumia m23 kuiba dhahabu na madini mengine DRC
 
Heshima kwenu wanajamvi,

Tukubaliane Tanzania ilipeleka wanajeshi wake DRC chini ya mwavuli wa UN kulinda amani huko.Ni wazi kabisa unapoingia vitani suala la kufa au kujeruhiwa haliepukiki.Inashangaza wapo baadhi ya waTanzania wanaposikia habari za wanajeshi wetu kufa wanaanza kulalama utadhani waliambiwa wanajeshi wetu wanakinga dhidi ya risasi na mabomu.

Tuwape moyo wanajeshi wetu tusiwape nafasi maadui kwa kudandia propaganda dhaifu.Tujiulize wanajeshi wa merekani wangapi wamekufa Iraq au Afghanistan ?.Niko nyuma ya JWTZ, Niko nyuma ya uamuzi wa serekali wa kupeleka wanajeshi wetu DRC,tumechoka kulea wakimbizi njia sahihi ya kumaliza tatizo la wakimbizi Tanzania ni kushiriki kuitafuta na kuilinda amani ya DRC.
 
==>> mavi ya kuku wee....ww unaandikia wapi..?? unajua M23 wamekufa wangapi juzi...?? unajua au unaongea with scented mouth...shit... u hv been defending m23 hapa JF muda sana we track u closely...very very closely....utalia....wait...utalia...wape ma------ au nenda Rwanda....fanya hivyo tutakumaliza
....tutakupata tu...tutakushika tu....tutakuonyesha...

Ninge kuunga mkono kama ungekua frontline,unasema hivyo wakati umo kitandani kwanya ka blackberry kako,wakati wengine wako wana sambaratishwa na m23,wewe utatunza familia zao,kama uko mwanaume kanyaga goma uone cha moto.
 
Na hesabu ya M23 imefikia kiasi gani?? Au wao kufa ni halali yao hivyo hatuhitaji kujua.

Mimi Naona Kikwete angeanzisha mazungumzo na M23 badala ya kupiagana nao. kwa nini hafanyi kama alivyomshauri Kagame?? Au M23 wao ni tofauti??
 
Mkuu hii ni golila war utachezwa mziki kwa miaka mingi sana,msifikiri ni lelemama,wazungu wenyewe hawanashida ya pesa kama waafrika tuna watu wakupoteza wao hawana tatitozo wata kupatia pesa upigane ukifa wao haiwahusu,watanzania ndio walijitia kimbelembele eti wanataka kupambana na m23,haya sasa na picha lenyewe halijaanza,kuna watu wanafikiria kwamba wakitumia nguvu nyingi wataweza kuiondo m23 hapo ni kujidanganya,golila war haimalizi kiurahisi jamaa watakomaa misituni na hawatang'olewa mpaka kieleweke.

Nina mashaka na mambo mawili kuhusu wewe:-
1. Uraia wako, huenda wewe si mtanzania halisi mwenye uzalendo na mpinga u dikteta duniani.
2.Akili yako, Huenda una mtindio wa ubongo na taahira ya akili au unabwia unga sana au una hang over ya viroba!
Huwezi kuandika matapishi ya namna hiyo kwa watu pale tunapoondokewa na mpiganaji shujaa ambaye anapigania kukomboa uhai wa binaadamu wanaoteswa na kuuawa na dikteta Kagame! Otherwise think twice b4 writing rubish!
 
Mkuu tusiwe wabinafsi, leo DRC kesho who knows na mambo yetu yasio na matumaini hapa. Wanawake na watoto wa Goma wameteseka sana kwa sababu ya Ubinafsi wa Kagame na M7n. Yes wanajeshi wetu watakufa lakini watawakomboa hawa watu wasio na hatia na kuifanya Congo sehem salam ya kuishi. Unakumbuka Tz mwaka 67 kama si Waingereza tungekuwa wapi??.........
M 23 Wanawaomba DRC waende kwa mazungumuzo kampala ili amani ipatikane,sasa jk na zuma na wafaransa wanamdanganya kabila eti watamsaidia kun'goa m 23,kitu ambacho kwangu mimi sioni ushindi wowote kwa kabila hata elete nani vita ya congo haita malizika,hao watu wa goma hawakua na matatizo hivi shida zote zimeletwa na hayo majeshi ya SADC yanayo pigania mjini goma,nafikiri unajua kwamba wapiganapo mafahari wawili nyasi ndio huumia.
 
Updates waliojeruhiwa watanzania ni watano na wasouth ni watano mapambano makali yanaendelea siku ya tatu mfululizo, samahani kifo cha meja huyo kimetokea jana siyo juzi kama hapo awali nilivyoliweka hapa!
 
M 23 Wanawaomba DRC waende kwa mazungumuzo kampala ili amani ipatikane,sasa jk na zuma na wafaransa wanamdanganya kabila eti watamsaidia kun'goa m 23,kitu ambacho kwangu mimi sioni ushindi wowote kwa kabila hata elete nani vita ya congo haita malizika,hao watu wa goma hawakua na matatizo hivi shida zote zimeletwa na hayo majeshi ya SADC yanayo pigania mjini goma,nafikiri unajua kwamba wapiganapo mafahari wawili nyasi ndio huumia.

Nani alikudnganya kuwa eti M23 wanataka mazungumzo ya amani ya kweli huko Kampala? Unawajuwa M23 na chimbuko lao? Au unaongea na kuandika ili ujaze saver tu! Hawataki amani yoyote ya ukweli hao! Ni wa kuondoshwa kwa nguvu zote!
 
Nina mashaka na mambo mwaili kuhusu wewe:-
1. Uraia wako, huenda wewe si mtanzania halisi mwenye uzalendo na mpinga u dikteta duniani.
2.Akili yako, Huenda una mtindio wa ubongo na taahira ya akili au unabwia unga sana au una hang over ya viroba!
Huwezi kuandika matapishi ya namna hiyo kwa watu pale tunapoondokewa na mpiganaji shujaa ambaye anapigania kukomboa uhai wa binaadamu wanaoteswa na kuuawa na dikteta Kagame! Otherwise think twice b4 writing rubish!

Tatizo watu hampendi kuambiwa ukweli,hii vita haina maana yoyote kwa watanzania,wanakufa bure kwa sababu ya masilahi ya jk na zuma tu,tena sio huyo meja tu,kuna wengi sana wamekufa wanaficha,wamemtaja meja kwani ni mtu wa cheo kikubwa huwezi kuua meja wengine aliokua nao wakasalimika,yani makopolo na private niwengi wamekufa,halafu wewe unaleta vya uzalendo,mala unga sijui nini,ukweli mtaujua si muda murefu.
 
Nani alikudnganya kuwa eti M23 wanataka mazungumzo ya amani ya kweli huko Kampala? Unawajuwa M23 na chimbuko lao? Au unaongea na kuandika ili ujaze saver tu! Hawataki amani yoyote ya ukweli hao! Ni wa kuondoshwa kwa nguvu zote!

Yani wewe ndio hujui yanatoka wapi yanaelekea wapi,mpaka hivi sasa wawakilishi wao wako kampala wakisubiri delegation ya kabila lakini mpaka sasa hawajaenda,tatizo ni jk na zuma wanafikiri mtutu utamaliza mgogoro kama unavyofikiria,ngoja kama wiki mbili hivi ndio mtajua kwamba tz mmejidanganya kutumia mtutu,mazungumzo ndio dawa ya tatizo la congo.
 
Back
Top Bottom