Hakuna vita vilivyowahi piganwa asifariki hata askari mmoja!. Ni kawaida. Lakini sikuzote kinachoangaliwa ni malengo,lazima yatimie. Naona matumizi ya Comandos na Air strikes ni muhimu yaongezwe kwa hawa m23. By the way,hiyo report imeandikwa ki u shabiki zaidi na ipo imbalanced kwani sijaona kutajwa waliofariki upande wa m23 ambapo taarifa zinasema ni wengi zaidi!. Kama ni kweli,RIP SOLDIER.