m-pesa na computa.........

majogajo

JF-Expert Member
Oct 9, 2011
317
44
jamani naamini teknolojia inakua siku hadi siku...........Mi nataka kujua kama kunauwezekano wa kutumia computer yangu kuwa narusha hela kwenye m-pesa, air tel mone na tigo pesa. kuliko kuendelea kutumia simu kuwarushia wateja wangu. yeyote anaeijua technologia hiyo anisaidie please......
 
M-pesa hawaja release API yao kwa hiyo hakuna developer walioifanyia kazi. Subiri au hack kama unaweza
 
jamani naamini teknolojia inakua siku hadi siku...........Mi nataka kujua kama kunauwezekano wa kutumia computer yangu kuwa narusha hela kwenye m-pesa, air tel mone na tigo pesa. kuliko kuendelea kutumia simu kuwarushia wateja wangu. yeyote anaeijua technologia hiyo anisaidie please......

Hongera sana inaonyesha kuwa wewe ni mjasiriamali mzuri kwani unatafuta ubunifu kuongeza tija katika kazi yako mm nadhani hakuna kinchoshindikana kwa technology ya leo + entrepreneurship km si leo hh kesho utafanikisha jaribu pia jukwaa la technology na kutunia simu zinazo ingiliana na computor au moderm km voda ya hivi karibuni sina uhakika nahisi utafaulu..
 
Hakuna uwezekano huo mkuu.

inawezekana! HUNA HAJA YA SIMU CHUKUA MODERM yako weka connect kama kawa, ila bado tataizo litakuja kuwa huwezi kukonect moderm zaidi ya moja kwenye komputer moja,, un less uongeze Network CARD, nUNUAA NETWORK CARD ZINGINE MBILI/TATU INATEGEMEA UNATAKA MITANDA MINGAPAI!
KILA LAHERI KAKA!
Kwa maelezo zaidi ni PM!
 
mi nipo arusha,mbona naona side corner wanatumia pc?so inawezekana!sijauliza ila nadhani zile pc wamepewa na voda,au hata programm!mi nimeanza m-pesa wakala nikipata details zaidi nitakuambia!
 
mi nipo arusha,mbona naona side corner wanatumia pc?so inawezekana!sijauliza ila nadhani zile pc wamepewa na voda,au hata programm!mi nimeanza m-pesa wakala nikipata details zaidi nitakuambia!
Ukiwa wakala mdogo wa Mpesa huwezi kutumia Computer unless unatumia modem ya Voda. Ukiwa na modem unatuma na kupokea MPESA kwa urahisi. Try and see.
 
mi nipo arusha,mbona naona side corner wanatumia pc?so inawezekana!sijauliza ila nadhani zile pc wamepewa na voda,au hata programm!mi nimeanza m-pesa wakala nikipata details zaidi nitakuambia!
chariii wangu niatshukuru kama utafanya kuulizia hata leo.........
 
Hongera sana inaonyesha kuwa wewe ni mjasiriamali mzuri kwani unatafuta ubunifu kuongeza tija katika kazi yako mm nadhani hakuna kinchoshindikana kwa technology ya leo + entrepreneurship km si leo hh kesho utafanikisha jaribu pia jukwaa la technology na kutunia simu zinazo ingiliana na computor au moderm km voda ya hivi karibuni sina uhakika nahisi utafaulu..

inawezekana! HUNA HAJA YA SIMU CHUKUA MODERM yako weka connect kama kawa, ila bado tataizo litakuja kuwa huwezi kukonect moderm zaidi ya moja kwenye komputer moja,, un less uongeze Network CARD, nUNUAA NETWORK CARD ZINGINE MBILI/TATU INATEGEMEA UNATAKA MITANDA MINGAPAI!
KILA LAHERI KAKA!
Kwa maelezo zaidi ni PM!

Huu ni ushauri Mzuri.... Ila Naomba Majogajo kua Ukiamua kutumia Computer na your main business ndio hio E-money itakuletea setbacks kama slow operation process. Nakupa mfano hai...

  • Naamini hua watumia Modem ku access net via Lap top; Unapotaka kununua bundle kupitia Modem process yake ni taratibu (huchukua several minutes hadi uweze pata activation process ya bundle); BUT at the same time ukichukua simu ya mkononi ku subscribe bundle inachukua tu sekunde kadhaa....
  • Zingatia kua sasa hivi biashara ni kua na huduma mbili ama zaidi ya hizo mbili mahala pamoja. Yaani ukiwa na huduma ya E-money uwe na Mpesa na Tgo Pesa/Airtel Money (ama na zaidi but sio tu moja). Utatumia vipi hio computer? Utakua kila tranzaction unachomeka modem nyingine? OK kuna universal Modems... Unaelewa realiability ya net zetu sikunyingine ni sawa na F? Siku shauri hilo at the moment.

Hata hivo kuna huduma ya E-money ya kutumia Computer... Wewe kama wakala ni muhimu sana ukawa nayo na kujisajiri (ni wachache wanajua na kumiliki hii); Inatakiwa uende Headquaters... na uwaombe wakupe certification ya U-wakala wako ili kuweza monitor services zako vema. Best of Luck.
 
API za M-Pesa, Tigo pesa na nyingine bado hazijawa available nadhani its for security reasons. Ila kama una modem unaweza ku install software kwenye PC yako ambazo zina run USSD commands na utaweza kufanya hivyo
 
Mkuu kwanza fikiria kidogo ili upate access ya hivi vitu unahitaji line ya provider ambayo imeshafanyiwa settings ili iweze kuwasiliana na server ya provider wako.., sio kwamba haiwezekani ila sioni itaongeza nini wakati simu inafanya kazi hii efficiently na bila tatizo wala gharama yoyote..

Kinachoweza kufanyika kwa urahisi ni kupata paypoint (kama vile selcom na Max Malipo) ambazo wenyewe wataingia ubia na hawa wenye simu ili kuweza kutoa hii service.., kwahio settings nyingi na programs zitakuwepo kwa hao wenye hizo paypoint ambao watakupa wewe mashine yao yenye package hizo zote.., zaidi ya hapo nadhani itakuwa complication ambayo inaweza ikaleta matatizo badala ya ufanisi
 
Back
Top Bottom