zomba
JF-Expert Member
- Nov 27, 2007
- 17,240
- 3,910
Mzee mmoja maarufu wa Vikuge ana kacheo cheo hapo kijijini pamoja na mwanawe (amma wa kumlea amma wa kumfuga) wanashikiliwa na polisi kwa uchunguzi, mmoja aliuwawa baada ya kumrushia risasi la gobole mkazi mwingine maaruf wa hapo Kongowe.
Inasemekana Polisi walikuwa na taarifa mapema za uhalifu kutokea, na walikuwepo hapo hapo karibu na tukio.
Inasemekana Polisi walikuwa na taarifa mapema za uhalifu kutokea, na walikuwepo hapo hapo karibu na tukio.