M/kiti wa CCM mkoa wa Tabora ampigia debe Selelii

hatusikii mengine? selelii selelii! who is selelii by the way? am fed up with kila siku selelii selelii hamna cha kuandika!

Hakuna aliyekulazimisha usome post inayomhusu Selelii.If you are fed up with Selelelii just don't read anything mentioning him/talking about him.Period.

By the way,wewe mwenye cha kuandika tupe kipya kitakachopelekea wana-JF kyutaka kukisoma kila kukicha.
 
maendeleo gani? jimbo la nzega lina kata 21 ambazo zote hakuna kitu cha kuelezea na kama ishu ni ushabiki tuendelee kuwasiliana no soon at the end of octoeber tutaongea zaidi
 
- Hivi kazi za mbunge ni nini hasa? Halafu what are his financial resources katika kujenga bara bara za jimbo lake, shule, mahospitali na mengineyo?

- Tunaposema mbunge hafai exactly tuna maana gani? Halafu for once can we talk mbunge au wabunge wanaofaa ambao wanatakiwa kuwa mfano kwa wabunge wengine Tanzania? Na waliyoyafanya kwa wananchi wao na timelines zilikuwaje?

Respect.

FMEs!
 
Hakuna aliyekulazimisha usome post inayomhusu Selelii.If you are fed up with Selelelii just don't read anything mentioning him/talking about him.Period.

By the way,wewe mwenye cha kuandika tupe kipya kitakachopelekea wana-JF kyutaka kukisoma kila kukicha.

Punguzeni jazba jamani!!!
 
hivi? kuna mtu ana haki miliki ya jimbo lolote hapa Tanzania? kama kweli yeye ni mbunge bora anayewasaidia wana Nzega wasiwasi wa nini?Tusiendekeze udikteta na ubunge wa maisha kwa kigezo cha upambanaji...
 
Back
Top Bottom