M/kiti wa CCM atua A town rasmi!

Analala Ikulu ndogo maeneo ya uzunguni.
Lakini anatabia ya kutoka Ikulu na cruiser Mkonge akiwa amevaa track suit na kuelekea Loasis kwa yale mambo ya malima aka Loshera
Nielekeze hotel anapolala 2mfunike asidhurike.Maana tukio la jana la kurejesha ardhi ya wananchi wa tanganyika perkas moshono dhidi ya jwtz walioshinikiza kwa maandamano anapelekea kupaogopa arusha.
 
ameshindwa kufanya malezi ya elimu bora kwa mwanaasha sasa anahangaika huku na kule, anamwachia urithi gani mwanae? .... achana na siasa baba fundisha mwanao hana kitu kichwani na mama pia ni mwalimu ... au UPE?
 
Nielekeze hotel anapolala 2mfunike asidhurike.Maana tukio la jana la kurejesha ardhi ya wananchi wa tanganyika perkas moshono dhidi ya jwtz walioshinikiza kwa maandamano anapelekea kupaogopa arusha.

amefikia hotel mount meru room no 610 ila hajaja kwaajili ya kampein no kesho anameeting hapa hotel na wawekazaji kutoka china
 
ameshindwa kufanya malezi ya elimu bora kwa mwanaasha sasa anahangaika huku na kule, anamwachia urithi gani mwanae? .... achana na siasa baba fundisha mwanao hana kitu kichwani na mama pia ni mwalimu ... au UPE?

Wewe ndiyo mbumbumbu kabisa badala ya kumshauri Baba Junior Dokta Slaa, kaacha mtoto mchanga anatembea na Chopa tu Arumeru ndiyo tabu ya kupata mtoto uzeeni.
 
CDM kila siku walikuwa wanasema Rais Kikwete. hawezi kwenda Arusha anawaogopa CDM mbona kaenda Arusha,tatizo la CDM wanaongea hewa.
 
jamani nasikia msafara wake umepigwa mawe maeneo ya mianzini kulikoni tena hiyo inaonyesha ni jinsi gani akuwa raisi kwa matakwa ya wananchi nampa pole jk ana kazi ngumu sana

Siyo kweli mkuu, ingekuwa issue kubwa sana. Vyanzo vyangu vilivyopo huko vinakanusha habari hiyo.
 
Hbr nilizonazo ni kwmb ndege iliyombeba yule sugu fisadi mstaafu BWM imeshatua hapo uwanjani dk kadha iliyokatika sasa na analetwa ktk hoteli moja maarufu hp A town na nitajuza ni hotel gani baada ya kufikishwa tu!

Aluta Continua,,,,,,,,,,!!
 
CDM kila siku walikuwa wanasema Rais Kikwete. hawezi kwenda Arusha anawaogopa CDM mbona kaenda Arusha,tatizo la CDM wanaongea hewa.

Kama kweli anajeuri, aende kwenye jukwaa azungumze na wananchi. Raisi anakuja Arusha kuongea na Wachina!? Hata wewe hushtuki!? Raisi gani anayeingia usiku na kuishia hotelini!
Shtuka Mkuu!
 
Kama kweli anajeuri, aende kwenye jukwaa azungumze na wananchi. Raisi anakuja Arusha kuongea na Wachina!? Hata wewe hushtuki!? Raisi gani anayeingia usiku na kuishia hotelini!
Shtuka Mkuu!

Kamanda humu ndani tuna baadhi ya watumwa wa sisiem na kt yao ni km hawa waliotangulia ktk baadhi ya post ya hii thread!

Kazi kweli kweli!!
 
Kama kweli anajeuri, aende kwenye jukwaa azungumze na wananchi. Raisi anakuja Arusha kuongea na Wachina!? Hata wewe hushtuki!? Raisi gani anayeingia usiku na kuishia hotelini!
Shtuka Mkuu!

Kwenye jukwaa akafanyaje wakati saizi yenu wanapanda jukwaani kila siku Lusinde, Wassila, Mwigulu.
 
watu wana alnacha za ajabu kweli,mradi wameongea..sasa rais wa nchi aogope baadhi ya sehemu kwnye nchi yake...cdm wamepoteza mwelekeo!
 
Back
Top Bottom