M & E Expert - COMESA

Angalizo:

HOW TO APPLY
Only nationals of the Member States of COMESA , ACP and EU are eligible to apply

Tanzania ilijitoa uanachama wa COMESA tangu mwaka 2000.
 
Not true. Tanzania is a member of ACP . The Secretariat of the African, Caribbean and Pacific Group of States

See link below

ACP Member States

Not true?? pitia website ya member states wa COMESA kisha tafuta kama utaona Tanzania in the list.

Kama ni mtanzania, dont waste your time applying
 
Not true?? pitia website ya member states wa COMESA kisha tafuta kama utaona Tanzania in the list.

Kama ni mtanzania, dont waste your time applying

Kweli Tanzania siyo member wa COMESA, lakini Tanzania ni member wa ACP, na wanakaribishwa kuappy ni members wa COMESA, ACP na EU. Hivyo Wa tz ruksaa kuapply
 
Kweli Tanzania siyo member wa COMESA, lakini Tanzania ni member wa ACP, na wanakaribishwa kuappy ni members wa COMESA, ACP na EU. Hivyo Wa tz ruksaa kuapply

I dought kama wanaweza kusoma hata cv yako ikiwa wewe ni Mtz. kwani bila COMESA hiyo ACP na EC haipo Lusaka
 
Back
Top Bottom