m-bongotz

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,427
154,270
avatar ya mbongo tz ina maanisha nini?
je inastahili kutumika kwenye kadamnasi?
ina picha ya mtu mmoja amesimama na mwingine amepiga magoti huku kichwa chake kikiwa katikati ya mwili wa mtu aliyesimama.
na ina maneno "SWALLOW MY PRIDE"
hebu jamani naomba tumweleze mwenzetu huyu umuhimu wa kujiheshimu yeye binafsi na kuwaheshimu watu wote waliopo jamii forums
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom